[wanabidii] URAIS 2015 – UDHAIFU WA FREEMAN AIKAELI MBOWE

Wednesday, September 25, 2013
Ndugu zangu ,

Leo tumjadili Freeman Aikaeli mbowe ambaye ni mwenyekiti wa CHADEMA , Mbunge wa Hai Mkoani Kilimanjaro , Mkuu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni na Mfanyabiashara maarufu nchini .

Kwangu naona moja ya udhaifu wake mkubwa ni uelewa wake wa mambo mbalimbali haswa ya kijamii yanayoendelea nchini , nchi jirani na kimataifa kwa ujumla sijawahi kumsikia akiongelea masuala haya .

Ameonyesha udhaifu mkubwa katika kusimamia masuala ya kambi ya upinzani bungeni na amekuwa  mkuu wa kwanza wa kambi rasmi ya bunge kusababisha virugu bungeni baada ya kukataa kutoka bungeni alipoamriwa .

Ndani ya chadema wanasema anabebwa sana na anahusishwa na baadhi ya makundi ndani ya chama hicho hicho yenye lengo la kuharibia wenzake wanaotaka kupambana nae kwenye nyadhifa mbalimbali ndani ya chama .

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Related Posts

0 Comments