Ndugu zangu
Kumetokea tabia ya baadhi ya watu kuweka matangazo ya huduma za kutoa mikopo kwa watu binafsi , kampuni na hata vikundi kwa njia ya mtandao .
Tujihadhari na matangazo haya haswa pale unapoambiwa ujaze fomu Fulani au ujaze maswali atakayokuuliza huyo mtoa mikopo .
Usipokuwa makini utaweza kumpa huyu mhalifu taarifa zako zote na anaweza kuzitumia dhidi yako au hata watu wako wa karibu siku yoyote ile atakavyopenda na utakuwa umeibiwa .
Wengi wanaotuma matangazo haya ni watu wa nje tena ukisoma kiswahili chao kinaonekana ni cha kutafsiri kutumia google translator ingawa wako wanaowatumia watu wa ndani ya nchi katika kutekeleza uhalifu wao huu .
Kama unataka mikopo au huduma za mikopo tafadhali tafuta watu unaowajua au kampuni zinazojulikana zenye ofisi na wafanyakazi au hata benki huku kwenye mitandao haswa ya kijamii usijihakikishie sana .
Find Jobs in Africa Jobs in Africa
International Job Opportunities International Job Opportunities
Jobs in Kenya Jobs in Kenya
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments