Ndugu zangu kufuatia hizi kesi za madawa ya kulevya ambapo waTanzania wengi wamehusishwa na kufunguliwa kesi huko walikokamatiwa.Je,wote waliokamatwa na makosa ya makosa ya kusafirisha madawa, je serikali inatuma mtu wake kutetea au kuhoji washtakiwa?
-- Hii imekuja baada ya baadhi ya watuhumiwa walio na kesi za namna hiyo kutembelewa na uongozi wa juu wa wanaohusika na ukamataji wa wawahusika kwenda South kuwahoji watuhumiwa.
Nimejiuliza sana kama wote wanakuwa na makosa,kwa nini serikali iende sehemu moja na kwa baadhi na wengine wasitembelewe na hata kutafuta uwezekano wa kubadilishana wafungwa?
Je,Hapa hakuna mwanya wa kuzua maswali?
Au labda wanaenda na taarifa za kwenda huwa hazitangazwi au kuandikwa?
Naomba kujulishwa ili kuondoa hili dukuduku.
ASANTENI
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments