hi wakuu, nawapa vitu adimu tena jamani,hizi fursa zipo na kama mtu yupo serious zitamtoa lakini kwa wale wanaopenda kila jambo ni siasa watabakia hivyo hivyo.
bidhaa hz hapa:
kuna hekata 46 km 5 hv toka new bagamoyo port zinauzwa m 700 tu.
hekat 10 tena kmn 4 toka bandar mpya nayo bei ni m 150 na zina hati miliki na atakayehiaji atuone.
b. nyumba za kuuuza.
ghorofa lipo kimara stop ova ni jipya zuri la kisas bei m 230 tu bei ya kutuwa, jingine lipo sala sala nalo bei ni m 250.
nyumba za kwaida na za kisasa pia zipo bei kuanzia m 50 hadi 200...tunalo pia ghorofa kali sana maeneo ya oysterbay mbuyuni bei usd laki 4 sawa na m 600 hv.
C Dhahabu
tunazo hahabu toka kilosa, kilindi na muheza za kuuza na mwenye mteja au anaehitaji anione au anitext/call gram inaanzia tsh laki moja tu....madini mengine ya kawaida pia yanapatikana ukihitaji ie green tormarine et.
d: bar za kupanisha/godown na yard piazinapatikana maeneo mbali mbali ya hapa jijini na ars kwa anaehitaji do not hesitate sir.
0 Comments