Jirani yangu wa makazi huko Musoma, mtaa wa uzunguni, Jaji Fransis Mutungi ameteuliwa kuwa Msajili wa Vyama vya Siasa baada ya jaji Tendwa kumaliza muda wake na kutoongezewa tena. habari hizi hazijathibitishwa ingawa sisi wafuatiliaji wa mambo ya siasa na Bunge tumetonywa kuwa huenda taarifa hizi ni rasmi. walio karibu na eneo la tukio tafadhali fuatilieni mtujuze.
marc6
0 Comments