Na Maggid Mjengwa
Mandela anasimulia, kuwa mafunzo yake ya kijeshi akiwa Ethiopia yalipaswa kuwa ya miezi sita, lakini, baada ya miezi miwili tu, alipokea simu ya maandishi kutoka ANC ikimtaka arejee nyumbani Afrika Kusini haraka iwezekanavyo.
Taarifa zilionyesha, kuwa mapambano ya silaha ndani ya Afrika Kusini yalikuwa yamepamba moto. Hivyo, alihitajika Kamanda Mkuu wa Umkhoto we Sizwe awepo kwenye uwanja wa mapambano. Ni Nelson Mandela.
Haraka sana, Mkufunzi wa Mandela, Kanali Tadesse, alimwandalia Mandela taratibu za kusafiri kurudi Afrika Kusini. Na kabla ya kuondoka, Kanali Tadesse alimkabidhi Mandela bastola na risasi...Soma zaidi...http://www.mjengwablog.com/habari-za-kijamii/item/4379-simulizi-za-mzee-madiba-mandela-alipokea-saluti-ya-kwanza-ya-kijeshi-dar-es-salaam.html#.Uf9cZ22CDTo
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments