[wanabidii] Mpiganaji Sunday Shomari amuweka Ras Makunja chini ya Ulinzi wa mahojiano !

Wednesday, August 21, 2013





Mpiganaji Sunday Shomari wa Radio VOA amuweka Kamanda  Ras Makunja chini ya Ulinzi wa mahojiano !

Hilikuwa majira ya saa 11.00 alfajiri kwa saa za afrika mashariki,
Mtangazaji wa Radio VOA-Kiswahili,mpiganaji Sunday Shomari
alisikika akimuhoji Kiongozi wa Ngoma Africa band a.k.a FFU
ughaibuni almaarufu "Watoto wa Mbwa" mwanamuziki Ebrahim
Makunja aka Kamanda Ras Makunja mwenye makao kule
Ujerumani. Katika mahijiano hayo mpiganaji Sunday Shomari
alikuwa anataka kujua nini haswa siri ya mafanikio ya Ngoma Africa band, 
na kwanini ? bendi hiyo imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuwateka washabiki
wa kimataifa kwa kutumia muziki wa dansi.
Kamanda Ras Makunja anakumbana na maswali ya asubuhi ! Asubuhi !
tena kawekwa mtu kati na Sunday Shomari ! msikilize at

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Related Posts

0 Comments