Ndugu zangu
Napenda kuwakaribisha katika mjumuiko wa kumtembelea Prof Wamba Dia Wamba siku ya Jumapili tarehe 18 saa 9 Mchana .
Tutajadili masuala mbalimbali zaidi kuhusu masuala yanayoendelea katika maziwa makuu kama mzozo wa mashariki ya kongo , Tanzania na Rwanda , suala la matumizi ya maji ya mto nile na mengine mengi .
Tunakutana Mwenge Kituo cha Mafuta PUMA zamani BP .
Kama utakuja tafadhali weka jina lako hapa au nitumie sms 0786 806028 Kwa ajili ya kukumbushana .
Find Jobs in Africa Jobs in Africa
International Job Opportunities International Job Opportunities
Jobs in Kenya Jobs in Kenya
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments