[wanabidii] Mali zina thamani kuliko maisha ya Mandela

Friday, July 05, 2013
Mkanganyiko mkubwa umetokea kwenye familia ya mzee Mandela hata kabla hajafa kutokana na kile kinachoelezwa kuwa ni kugombania mali za urithi za Mzee Mandela hata kabla hajafariki dunia. Mkanganyiko huo ulianzushwa na mjukuu wa Mandela Madla Mandela ambaye pia ni chifu wa Qunu alipohamisha masalia ya miili ya watoto wa mzee Mandela na kuyaweka katika eneo aliloliandaa yeye kwa manufaa yake katika eneo la Mvezo kilometa 30 kutoka eneo la Qunu. Madla Mandela alifanya hivyo bila kuwashirikisha wanandugu wengine wa familia mwaka 2011. Hii ilipelekea wanandugu 16 wa familia ya Mzee mandela kufungua kesi mahakamani kuomba miili hiyo irudishwe mahali pake asilia jambo lililofanyika jana kwa amri ya mahakama. ......................

http://goldentz.blogspot.com/2013/07/hatimaye-miili-ya-wanawe-mandela.html

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments