[Mabadiliko] Simulizi Za Mzee Madiba; Karani Wa Bunge Sierra Leone Aliyemletea Balaa Mandela...!

Wednesday, July 24, 2013


Na Maggid Mjengwa,

Ndugu zangu,

Kwa furaha naendelea na simulizi hizi za Mzee wetu Madiba. Katika safari zake za Afrika mwaka 1962, hatimaye Mandela akatua Freetown, Sierra Leone.

Akiwa Sierra Leone Mandela akafahamu, kuwa kulikuwa na kikao cha Bunge kinaendelea. Mandela akatamani ahudhurie Bunge la nchi huru ya Kiafrika na kuona jinsi linavyoendeshwa.

Basi, Mandela akaingia kwenye ukumbi wa Bunge kama wafanyavyo watalii wengine. Akapata kiti si mbali sana na anapokaa Mheshimiwa Spika.

Karani wa Bunge alipomwona Mandela....Soma zaidi...http://www.mjengwablog.com/siasa/item/4144-simulizi-za-mzee-madiba-karani-wa-bunge-sierra-leone-aliyemletea-balaa-mandela.html#.Ue9j5m2CDTo

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
 
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments