[Mabadiliko] Simulizi Za Mzee Madiba; Siku Mandela Alipokatisha Mitaa Ya Stockholm Bila Walinzi!

Monday, July 01, 2013


Ndugu zangu,

Kuna simulizi nyingi za Mzee wetu Madiba, Mzee asiye na makuu. Inasimuliwa, kuwa wakati fulani akiwa Rais wa Afrika Kusini, Mandela alialikwa kufanya ziara nchini Sweden.

Alfajiri moja akiwa Stockholm, Mandela alionekana kwenye mitaa ya Mji Mkongwe akitembea peke yake bila walinzi.

Ni kwamba, Mzee Mandela amekaa miaka mingi kifungoni, hivyo, ni mtu anayependa sana maisha ya kuwa huru. Kwake yeye, kuwa na walinzi....Soma zaidi...http://www.mjengwablog.com/habari-za-kijamii/item/3651-simulizi-za-mzee-madiba-siku-mandela-alipokatisha-mitaa-ya-stockholm-bila-walinzi.html#.UdGzWpyNCAg

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
 
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments