[Mabadiliko] Neno Fupi La Usiku; Uongozi Ni Mzigo...!

Saturday, July 27, 2013

Ndugu zangu,

Imeandikwa, kuwa Yethro alimshauri mkwewe Mussa achague miongoni mwa watu wake, watu wenye uwezo, watu wakweli, wacha Mungu, wasiotamani mapato ya udhalimu. Awaweke chini ya makumi, hamsini na mamia.

Waamue mambo madogo ili Mussa asidhohofu kwa majukumu mengi, ili nao wauchukue mzigo pamoja na Mussa.

Naam, Uongozi ni Mzigo.
Ni Neno Fupi La Usiku Huu.
Alamsiki.
Maggid,
http://mjengwablog.com

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
 
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments