Ndugu Mwanahabari!
Kwanza nitangulize shukrani kwa ushirikiano ambao tumekuwa nao katika kuuhabarisha umma kuhusiana na masuala mbalimbali ya huduma za afya nchini.
Nakuomba upokee taarifa kuhusiana na tatizo sugu la uhaba wa dawa mseto (Alu) katika vituo zaidi ya 900 vya kutolea huduma za afya vya umma nchini ili uweze kuitumia kwenye chombo chako cha habari kwa ajili ya kuuhabarisha umma.
NB: Taarifa hizo zipo katika lugha za Kiswahili na kiingereza.
Ahsante sana
Mcharo Mrutu
Program Officer
Media and Communication Department
Sikika
P. O. Box 12183,
Dar es Salaam.
Tel +255 222 666355/57
Fax +255 222 668015
Mobile +255 715 232712
Email: mcharo@sikika.or.tz
Quality health services for all Tanzanians
0 Comments