Na Maggid Mjengwa,
TUMEONA, kuwa matukio kadhaa ya kihistoria ya mchezo wa kandanda
yameonyesha ni jinsi gani England , kwa kujiona kuwa wao ndio waanzilishi wa
kandanda duniani, wamekuwa wakionyesha majigambo ya wazi na wakati mwingine
kuzuia kwa makusudi juhudi za wengine katika kufikiri namna nzuri ya
kuuendeleza mchezo huo. Mchezo ambao Waingereza wanaamini kuwa ni wao.
Tumeona kuwa, pamoja na Shirikisho la Kandanda ulimwenguni, FIFA kuundwa mwaka 1904, England haikupata kuwa mwanachama wa Shirikisho hilo hadi mwaka 1924.
Na hata baada ya England kujiunga rasmi na FIFA mwaka huo wa 1924, bado nchi hiyo haikushiriki katika fainali za kwanza za Kombe la Dunia zilizoandaliwa na FIFA mwaka 1930.
Leo nitachambua kwa ufupi sababu zilizopelekea England kususa kushiriki fainali hizo za kwanza na za kihistoria. Kisha....Soma zaidi...http://www.mjengwablog.com/michezo/item/3479-historia-ya-kombe-la-dunia-ii.html#.UchxPpyNCAg
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments