[wanabidii] viongozi wa serikali

Monday, May 27, 2013
Jamani viongozi wetu mnasahau kabisa kwamba wananchi ambao mnapiga mabomu na risasi kesho mtasitafu na kurudi kukaa na jamaa wa hao mliopiga mabomu na risasi?
Mbona mwalimu hakufanya hayomnayofanya ninyi na hata alipo ng"atuka alirudi kijijini kulima na kucheza bao pamoja nao kwao Butiama.

Share this :

Related Posts

0 Comments