Ndugu zangu,
Nikiwa kama Makamu Mwenyekiti wa Bodi Ya Utendaji ya Iringa International School, na kwa kupitia hotuba yangu ya kufunga rasmi shughuli ya Siku ya Wazazi Iringa international School, leo nimetangaza rasmi kuwa sitaendelea kuwa Mjumbe wa Bodi ya Utendaji wa Iringa International. Kwa maana hiyo, sitaendelea kuwa Makamu Mwenyekiti wa Bodi hiyo.
Wakati umefika wa mimi kung'atuka na kuwapisha wengine, na kuzipisha fikra nyingine pia. Nimewahamasisha wazazi wengine wachukue fomu na kuzijaza kuziba nafasi zitakazokuwa wazi ikiwamo yangu. Vile vile, kushiriki kwenye uongozi wa Jumuiya ya Wazazi ya shule ( PTA). Mkutano wa Uchaguzi utafanyika hivi karibuni.
Maggid,
Iringa.
http://mjengwablog.co.tzNikiwa kama Makamu Mwenyekiti wa Bodi Ya Utendaji ya Iringa International School, na kwa kupitia hotuba yangu ya kufunga rasmi shughuli ya Siku ya Wazazi Iringa international School, leo nimetangaza rasmi kuwa sitaendelea kuwa Mjumbe wa Bodi ya Utendaji wa Iringa International. Kwa maana hiyo, sitaendelea kuwa Makamu Mwenyekiti wa Bodi hiyo.
Wakati umefika wa mimi kung'atuka na kuwapisha wengine, na kuzipisha fikra nyingine pia. Nimewahamasisha wazazi wengine wachukue fomu na kuzijaza kuziba nafasi zitakazokuwa wazi ikiwamo yangu. Vile vile, kushiriki kwenye uongozi wa Jumuiya ya Wazazi ya shule ( PTA). Mkutano wa Uchaguzi utafanyika hivi karibuni.
Maggid,
Iringa.
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments