Salaam wanabidiij Hii ni kutokana na ukweli kuwa; kwa sababu ya ongezeko la watu, makazi na shughuli za kiuchumi; utupaji wa taka hasa katika nchi za ulimwengu wa tatu (kama Tanzania) haukidhi viwango vinavyotakiwa, na hivyo kuacha maswali mengi yanayohitaji majibu dhidi ya mazingira ya dampo. Nimeomba ufadhili katika taasisi ya Canada inayo fadhili tafiti zenye tija kwa jamii. kwa sasa wazo langu katika video hapa chini lipo katika mchakato wa kupigiwa kura ili kujua ni kwa kiasi gani jamii inaona haja ya tafiti hii. Naomba KURA yako (LIKE) Chini ya video hii kwa kugonga LIKE, na pia uhakiki kama kura yako imesajiliwa( registered) ili tafiti iweze kufadiliwa na kufanyika kwa ufanisi Tazama video hii: ni moja ya dampo hapa Tanzania http://applications. Natumaini wote tunajali mazingira yetu ili afya zetu ziwe bora, Ahsante Mwaikono, KS Mobile phone: +255 762 85 66 16 website : www.nm-aist. ac.tz --------------------- ------------------------------------------------------------ |
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments