Bado naendelea kupokea majina anuani na namba za wanachama kwa ajili ya kutengeneza database.
Kama bado hujafanya hivyo nitumie kwenye barua pepe yangu <mouddymtoi@gmail.com> au kwenye simu yangu ya kiganjani 0713 246 764.
Tunataka watu makini na serious wawe sehemu ya mabadiliko makubwa tunayo yataraji 2015. Wale kenge (ashakum) wasithubutu kusogea kwenye huu msafara mpya maana hatuta kuwa tayari kuona tunarudishwa nyuma kwa tamaa ya vipande thelathini vya fedha.
Karibuni sana na enezeni neno kwa wengine.
Mo!
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments