[wanabidii] MUHADHARA WA WAHANDISI

Saturday, February 23, 2013


---------- Forwarded message ----------
From: <info@iet.co.tz>
Date: 2013/2/22
Subject: [Engineers] MUHADHARA WA WAHANDISI
To: engineers@iet.co.tz


kwa wahandisi wote,

Taasisi ya Wahandisi Tanzania (Institution of Engineers Tanzania – IET)
inawaalika wahandisi wote waliosajiliwa na wasiosajiliwa kuhudhuria
muhadhara utakofanyikia Luther House, ukumbi wa Mviringo, siku ya
Alhamisi, tarehe 28/02/2013, kuanzia saa 8.00 mchana – 12.00 jioni.

Muhadhara huo utazungumzia mambo makuu mawili ambayo ni:

1.      Kuielezea jamii ya kihandisi na wananchi kwa ujumla mipango na mikakati
inayoandaliwa kujenga uwezo wa wahandisi wazalendo.
2.      Kuzungumzia matukio ya hivi karibuni ambayo yataathiri uchumi wa nchi
nayo ni gesi, kudondoka kwa majengo yanayojengwa na kufeli kwa wanafunzi
wa kidato cha nne zaidi ya nusu ya waliofanya mtihani mwaka jana (2012).

Tafadhali tujulishe ushiriki wako kabla ya tarehe 26/02/2013 kwa simu Nas.
0717-110711, 0713-346868, 0769-584424, 0713-251529 au barua pepe info@iet.
co.tz / snakassera@yahoo.com

Wote mnakaribishwa.

Asanteni.

Katibu Mtendaji
Taasisi ya Wahandisi Tanzania


Executive Secretary,
The Institution of Engineers Tanzania,
Pamba Road, Opp. Former Hotel Agig
P.O. Box 2938,Dar es Salaam, Tanzania,
Tel: +255 22 2124265/2122836,
Fax: +255 22 2124265/2115373,
Mob: +255 717 110411/0784 909060,
Emails: snakassera@yahoo.com/info@iet.co.tz


_______________________________________________
Engineers mailing list
Engineers@iet.co.tz
http://iet.co.tz/mailman/listinfo/engineers_iet.co.tz

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments