[wanabidii] DALILI ZA UGONJWA WA COCCIDIOSIS KWA KUKU NA JAMII YAKE

Saturday, February 23, 2013

Ugonjwa huu unawasumbua sana wafugaji wa kuku (na jamii yake) na  mifugo mingine. Ziko aina kuu mbili za ugonjwa huu kwa kuku kutegemeana na eneo ambalo linashambuliwa kwenye utumbo. Coccidia wanaweza kushambulia kwenye utumbo mwembamba (intestinal coccidiosis) au sikamu/tawi butu (caecal coccidiosis) na hata madhara yake yakajitokeza maeneo hayo tena kwa kuku wa umri tofauti. Coccidiosis ya sikamu/tawi butu (caecum) inawapata kuku wadogo wa hadi umri wa miezi 6 na wanasababishwa na coccidia anayeitwa Eimeria tenella. Coccidiosisi ya utumbo mwembamba inawapata kuku wakubwa na inasababishwa na aina nyingi za Eimeria zikishambulia maeneo tofauti tofauti ya utumbo mwembamba. Wapo wanaoshambulia mwanzoni mwa utumbo mwembamba (E.acevulina), katikati (E.necatrix) na mwishoni mwa utumbo mwembamba (E.brunetti).

Dalili za coccidiosis kwa kuku na jamii yake soma hapa http://achengula.blogspot.com/





To all the questions of your life YOU are the  most possible answer. To all the problems of your life YOU are the best solution. Trust yourself

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments