polisi makao makuu kwa madai ya kuhariri na kuchapisha habari ambayo
hadi sasa haijatamkwa.
Kamukara aliyekuwa Mtwara kikazi, aliitwa na jeshi hilo, akitakiwa
kufika leo makao makuu ya p[olisi kwa kile kile
kilichodaiwa kutoa maelezo kuhusiana na habari iliyosababisha
kukamatwa kwa Mhariri wa Tanzania Daima Jumamosi, Charles Misango na
mwandishi Josephat Isango.
Lakini leo saa tatu asubuhi, Kamukara alipewa
taarifa tofauti na kwamba anahusika kuhariri habari nyingine 'mbaya'
na
sio kama alivyoambiwa awali.
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments