[wanabidii] Museveni na Kagame Kuiponza Afrika ya Mashariki

Thursday, January 31, 2013
Ndoto ya siku nyingi ya Wanyarwanda (Watusi) ya KUTEKA na KUTAWALA
eneo lote la Maziwa makuu (DRC, Uganda, Rwanda, Burundi, TZ na Kenya),
inaelekea kutimia.

Baada ya kuzitawala Uganda (Gen.Yoweri K. Mseveni), Rwanda (Gen. Paul
Kagame) na DRC (Gen. Hypolite Adrian Christophe Kanambe a.k.a Joseph
Kabila ambaye ni ndugu wa damu wa Mkuu wa Majeshi ya P. Kagame yaani
James Kabarebe).

Sasa Madikteta hao 3 wa maziwa makuu wako hatua za mwisho za kuivamia
TZ aidha Kijeshi kama walivyochukua madaraka ya nchi hizo au kiujanja
kupitia rushwa wanazowahonga viongozi wetu na kujikuta wakiwagawia
vyeo sekta vyeti za maofisa wa TISS, Ofisi za mawaziri, na hata Ikulu
eti wengine ndio washauri na walinzi wa Marais wetu, Uhamiaji, TRA,
TBS, Polisi, Magereza, JWTZ nk, ardhi wanapewa kama njugu hidi ekari
500, hivyokujikuta TZ ikichukuliwa bila jasho.

Kila kukicha tunashuhudia watu wanaozikosoa serikali wanavyopigwa /
kuuawa /kubambikiziwa kesi na polisi katika nchi zote hizo na TZ
ikiwemo, Uganda (Kiza Besige), Rwanda (Victoire Ingabire) na TZ
Viongozi wa upinzani hasa CDM na CUF na kwa watetezi wa wanyonge Msitu
wa Mabwepande ni kiboko yao, hawa ndio mkobozi na tegemeo la wananchi
wa nchi hizo, Hii ni kwasababu maofisa polisi nchi zote hizi lao ni
moja kukuza (Himaya ya watusi) kwa TZ maofisa polisi wazalendo ni
wachache zaidi 80% wananuka rushwa na wengine ndio hao wenye asili ya
Kagame na wengine ni shame sake Kagame (wameoa wanyarwanda), ndio
maana serikali ya TZ na mipango yake iko uchi mbele ya Kagame na
Mseveni, mipango iayopangwa Dar es salaam inafika Kigali na Kampala
ndani ya masaa 24.

UPANUAJI WA HIMAYA YA WATUSI AFRIKA MASHARIKI NA KATI

Madikteta hawa 3 wa eneo la maziwa makuu Y.Museveni, P. Kagame na
J.Kabila waliandaliwa nchini TZ chini ya uongozi wa J.K.Nyerere kwa
nyakati tofauti-tofauti ndio maana 85% ya walinzi wa J.K. Nyerere
walikuwa Wanyarwanda (watusi). 1959 Tanganyika ilipokea wakimbizi wa
Kinyarwanda kutoka Rwanda na kuwapeleka kambini Mwese wilayani Mpanda,
1978 wakimbizi hao wa Kinyarwanda walipewa uraia wa TZ ikiwa ni baada
ya miaka 19 tu ya ukimbizi wao, wanyarwanda hao walisambazwa nchi
nzima, wakiwa kambini mwese walipewa huduma zote muhimu kama elimu,
afya nk serikali ya CCM ilitumia rasilimali za TZ kuwasomesha ikiwa ni
hatua muhimu ya kuwaandaa kwa ajili ya kurudi Rwanda kuitawala.

RPF waliandaliwa vizuri TZ, Rais P. Kagame alisomea na kuandaliwa
nchini na mafunzo ya kijeshi pia kapatia TZ.Mnyarwanda J.Kabila rais
wa sasa DRC amesomea na kusomeshwa TZ, amesomea pia Chuo cha Maofisa
wa Jeshi Monduli (Arusha-TZ)1972 kwa shingo upande Tz ilipokea
wakimbizi wa kihutu kutoka Burundi na Rwanda, hii ilikuwa baada ya
J.Nyerere kuwakataa, aliwapokea baada ya tamko la rais wa Kenya muda
huo J. Kenyatta kutangazia dunia kuwa kama Nyerere hawataki atatuma
ndege kuwapeleka Kenya Nyerere ikabidi tu awapokee. Wahutu hao
wamepewa uraia wa TZ 2012 ikiwa ni baada ya miaka 40 ya ukimbizi wao,
hawa wao hawajasambazwa nchi nzima,-hawa hawakuandaliwa kurudi
kuchukua madaraka ya nchi zao, elimu mwisho darasa la 7, sekondali
kidato 1-4 vimejengwa makambini mwao miaka 1998 baada ya Kagame
kuichukua Rwanda na kuanza uvamizi DRC, kabla ya hapo hata waliokuwa
wakifaulu kuendelea na elimu ya sekondari majina yao wakuu wa shule za
misingi makambini (watanzania na wengine wanyarwanda) walikuwa
wakiyauza.-wamekuwa wakisingiziwa eti ni waharibifu wa mazingira
(wanakata miti ovyo, wawindaji haramu katika hifadhi za Katavi)

Swali;
1) wanyarwanda miaka hiyo 19 hawakukata miti yeyote?
2) Ikiwa serikali ya TZ iliwapiga marufuku kujihusisha na shughuli
zozote za kisiasa bunduki za kuwindia wanyama wanazitoa wapi?Ukweli-
wameiingizia TZ fedha nyingi kutokana na kilimo chao cha tumbaku.RPF
ya Kagame kwa kutumia kikosi chake maalum cha Escadron de la mort,
inatekeleza mauaji ya wahutu wote wasomi eti ndio waliosababisha
genocide 1994.

Rwanda genocide/mauaji ya halaiki 1994 Rwanda ina makabila 3,wahutu
85%, watusi 14% na watwa 1%,tangu mwanzo baada ya watusi kufika Rwanda
1500 walilazimisha kuwatawala wazawa waliowakuta (watwa na wahutu)
kwani watusi wanaamini kuwa waliumbwa kwa ajili ya kutawala na
makabila mengine yapo ili yawatumikie wao. Sintifahamu hiyo iliendelea
hadi miaka 1950 pale shujaa Gregory Kayibanda (mhutu) alipodai uhuru,
1959 watusi kwa dharau wakakimbilia TZ wakikataa kutawaliwa na mhutu
mtumwa wao.

1994 watusi hao chini ya RPF ya Kagame akisaidiana na J. Kabila,J.
Kabarebe na K.Nyamwasa kipindi hicho Jean Bikomagu (mtusi na kibaraka
wa Kagame nchini Burundi) waliivamia Rwanda baada ya kutungua ndege ya
rais mteule wa Rwanda Juvenal Habyarima na ujumbe wake wote wakitokea
Dar (TZ) kutokea DRC, Burundi,Uganda na TZ. Wahutu wakaamua kujihami
kwa kutumia mapanga. ICTR ilianzishwa na Kagame ili azidi kuwamaliza
wasomi wa kihutu na ndio maana Kenya iliikataa ICTR katika ardhi yake
sababu ni chombo cha kikabila. ICTR ilikubaliwa kwa sababu Wanyarwanda
wana mizizi mirefu katika sarikali ya TZ, na tayari TZ imeshapata
hasara ya uwepo wa ICTR katika ardhi yake kwani ni RPF ya Kagame kwa
kutumia kikosi chake maalum cha Escadron de la mort iliyomuua Pr.Jwani
Mwaikusa mtaalamu mzalendo na mhadhiri wa sheria UDSM, J.Mwaikusa
akiwa wakili wa washitakiwa katika ICTR-Arusha alibainisha kuwa
mshitakiwa namba 1 ni P.Kagame kwani bila Kagame na RPF waliotungua
ndege ya J. Habyalimana rais wa Rwanda 1994 genocide isingekuwepo.

Serikali ya CCM ikafunika kombe mwanaharamu Pr. J. Mwaikusa akafa,
akazikwa, akaoza. Serikali ya CCM haikuchukua hatua dhidi ya wauaji wa
Mwaikusa kwasababu na yenyewe huwa inatumia kikosi hicho cha Kagame
kuua inaodhani kuwa wataiumbua H.Mwakiyembe kweye taarifa aliyoitoa
kwa IGP S.Mwema alibainisha kuwa anawindwa auawe na wabaya wake
wamewakodi Wanyarwanda, al-shabab na waganda IGP Mwema akauchuna.

Kagame ndie dikteta wa kwanza duniani kuua watu wengi. A.Hitller
(Mjerumani) inasemekana aliua Wayahudi milioni tano(5,000,000), Idd
Amin (Uganda) inasemekana aliua Waganda laki 3.5 -5, P.Kagame
inasemekana ameua watu milioni sita(6,000,00).

Ushahidi
1. Waliouawa 1994 baada ya genocide isingekuwa Kagame isingetokea,
2. Wakimbizi wa kihutu milioni 2.5 waliouawa na J.Kabila, J.Kaberebe
na K.Nyamwasa mashariki mwa DRC kwa amri ya Kagame,
3. Mauaji ya Jean Bikomagu nchini Burundi,
4. Mauaji ya Laurent Nkundabatware (Nkunda) na M23 mashariki mwa DRC,
5. Mauaji ya watanzania wanaouawa ovyo mikoa ya Kagera na Kigoma
wanyarwanda wanapochungia maelfu ya ng'ombe wa Kagame, Museveni na
mawaziri wao,
6. Mauaji na uporaji unaofanywa na wanyarwanda katika pori la
Biharamulo. Baada ya dunia kuzishutumu Rwanda na Uganda kuwa nyuma ya
M23 na kuomba nchi zijitolee askari kwenda DRC, rais TZ J. Kikwete
kupitia waziri wa ushirikiano wa kimataifa B. Membe kutangaza kuwa TZ
ipo tayari kutoa askari waende DRC, Kagame na Museveni walisusia
tafrija ya wakuu wanchi za jumuiya ya A.Mashariki badala yake walituma
wawakilishi.

Ukweli kuhusu ushirikiano wa J.Kabila, P. Kagame na J. Kabila uko
wazi, kila mara DRC inapovamiwa na Museveni na Kagame jitihada za
Kabila huwa ni usanii tu ili wazidi kuuhadaa ulimwengu,Kabila anakuwa
na kigugumizi kuomba msaada wa kijeshi kutoka SADC, AU na UN na hana
jitihada za kuomba misaada ya mafunzo ya kijeshi kwa wakongomani
wazarendo kutoka mataifa mbalimbali. Uhatari wa kauli ya J. Kikwete
kwa TZ, Baada Kikwete kukubali kupeleka kikosi cha Jeshi DRC, Kagame
na Museveni wamemuwahi kwakuingiza TZ kikosi cha majasusi wao 1400,
1000 wakiwa wa Kagame na 400 wa Museveni, mbali na hao wamepenyeza
askari 35,000 wenye silaha wakiigiza eti ni wachungaji wa ng'ombe
katika mikoa ya Kagera, Kigoma na Geita, idadi ya wanyarwanda
(wanyaru) inaongezeka TZ kila anayeenda Rwanda kusalimia anakuja na
2-3,nendeni mjionee au ulizeni wazawa wa mikoa pia waulizeni wakuu wa
mikoa hiyo.

Wakati hayo yakiendelea Wizara za Mambo ya ndani na Ulinzi ziko kimya,
Ofisi ya Rais kama haioni vile au tuseme wote mmehongwa fedha, ng'ombe
maziwa na mabinti wa Kinyarwanda?

MADHARA YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI KWA TANZANIA.
Jumuiya ya kwanza ya A.Mashariki 1967-1977 ilikuwa na nchi 3
(Tanzania, Kenya na Uganda) ilivujika 1977 baada ya marais wan chi
hizo Nyerere (TZ), Kenyatta (Kenya) na Amin (Uganda) Nyerere alikataa
kukaa meza moja na Rais Amin wa Uganda, kwa sababu Amin alikuwa
mwuaji. "Siwezi kuchangia meza moja na mwuaji aliyeloa damu" alitamka
Rais Nyerere, ulimwengu wote ukamuunga mkono hata mgomo wake
uliposababisha kuvunjika kwa Jumuiya ya A.Mashariki. Je serikali ya
CCM haioni kuwa Kagame na Museveni wameloa damu kuliko Amin? Na ni
waroho wa madaraka kuliko Amin?

Shilikisho la sasa la A.Mashariki (Rwanda, Burundi, Kenya na
TZ)linaelekea kuwa chini ya rais mmoja, na ndio janja ya Watusi
kutawala eneo lote la maziwa makuu.Tayari rais Museveni wa Uganda
tangu 1986 hadi sasa ametangaza mara nyingi kuwa anafaa na ana haki ya
kuwa rais wa kwanza wa Shilikisho la A.Mashariki watanzania tumelala
usingizi wa pono, Museveni ameshamuweka mototo wake wa kiume kuwa
kamanda wa kikosi maalumu cha ulinzi wa rais (yeye), kaka yake
Museveni ndie mkuu wa mjeshi ya Ulinzi ya Uganda.

Kagame nae ameshajiongezea umri wa uchaguzi kutoka alioukuta hadi
miaka 7 sasa, pia kuna dalili na fununu za kutosha kuwa anataka
aiongoze Rwanda mpaka atakapokufa, kwani anaogopa kushitakiwa kama
akistafu. 1999 na 2000 marais 3 Mkapa (TZ), Moi (Kenya) na Museveni
(Uganda) walifufua Jumuiya ya A.Mashariki na kuazimia ifikie kuwa
shilikisho kamili chini ya rais mmoja kama ilivyo USA. Ikumbukwe kuwa
ndoto za Wanyarwanda (Watusi) ni kutawala A.Mashariki kupitia EAC,
A.Mashariki na kusini kupitia SADC, Afrika yote kupitia AU ili
kutimiza itikadi yao kuwa wameumbwa ili watawale tu. Kagame juu ya M23
baada ya ulimwengu kumshutumu yeye na Museveni akihutubia Wanyarwanda
alisema" Rwanda imeamua kutulia kwanza lakini hakuna nchi hata moja ya
SADC Rwanda inayoiogopa"USALAMA WA TANZANIA UKO REHANIKutokana na
serikali ya CCM kuabudu rushwa na ufisaidi, Viongozi wa CCM
wamelazimisha watanzania kuingia katika shirikisho hilo bila wao
wenyewe kuridhika,na Mipaka ya nchi iko wazi bora tungekuwa na vikosi
hata mugambo/sungusungu mipakani vingekuwa vinapigana na wavamizi hao
Kagera na Kigoma afadhari DRC wao walikuwa na Mai-mai mipakani mwa
Uganda na Rwanda ambao walijihahidi kuwakabil wavamizi Kagamena
Museveni, mipakani uhamiaji wako usingizini/ rushwa tu na wengine ndio
wanyarwanda sasa watawazuia ndugu zao wasiingie?

1) Ardhi wamechukua wanyarwanda kupitia sera ya Kagame na Museveni
"Tusi expansionism" ukanda wote wa Afrika mashariki na kati (DRC,
Burundi, Rwanda, Uganda, Tz na Kenya). Mikoani Kagera, Kigoma na Geita
wanyarwanda wana ardhi ekari hadi 500 mtu mmoja, huku waha, wahaya na
wasukuma ambao ni wazawa hawana hata mita 1,waziri wa A.Mashariki
S.Sitta ni shahidi 2012 akiwa Kigoma ziarani alisema "kuna wanyarwanda
wana hadi ekari 500 mtu mmoja na pia serikali ya TZ imetelekeza mikoa
ya mipakani kuliko nchi nyingine za Jumuiya ya A.Mashariki".
2)Ng'ombe wa wanyarwanda wana malisho mazuri mikoa ya Kagera, Kigoma
na Geita hii imepelekea wasukuma wakimbilie Mikoa ya Katavi na Rwukwa
kwa ajili ya kutafuta malisho ya ng'ombe wao na pia kwa usalama wa
maisha yao wote tu mashahidi kilichowahuta wasukuma Buligi wilayani
Muleba baada mkuu wa wailya ya Muleba ku-Chukua Chake Mapema milioni
100kutoka kwa wanyarwanda.
3)Ujenzi wa makanisa yao tu mikoani Kigoma, Geita (Katoro CCM) ,Kagera
(Butera) na sehemu nyinginezo.
4)Ujenzi wa nyumba za kulala wageni (gest houses) mikoa ya Kagera,
Kigoma (Coast View),Geita ('GK Gest House" Katoro- CCM na Geita mjini)
na nyingine nzuri sehemu mbalimbali za mikoa hiyo.5) Wizi, Ujambazi na
Uporaji,mwezi wa 1/2013 Gazeti la mwananchi lililipoti kuwa askari wa
Jeshi la ulinzi la Rwanda (RPF) liliteka Hiece 5 zilizokuwa zikitokea
Ngara na Benako katika pori la Biharamulo abiria walinyang'anywa mali
zao zote kasha wakacharazwa viboko.

Wakati hayo na mengine mengi yakitokea serikali ya CCM inaonekana
kuridhishwa na hali hiyo wako kimya kama maji mtungini.
1) Serikali ya CCM iko kimya juu ya wavamizi hao wanaomega na kugawana
ardhi yetu kama mbwa mwitu wenye njaa wakamatapo swala, vigingi vya
mipaka ya Uganda vilishang'olewa, waganda chini ya Dikteta Y. Museveni
wanalima na kufuga ng'ombe nchini mwetu.
2) Rais wa awamu ya nne chini ya CCM kipindi cha vuguvugu la katiba
mpya aliwahi kusema kuwa haoni tatizo katiba mpya ikiruhusu uraia wa
nchi mbili,(ikiwa katiba itaruhusu uraia wan chi mbili ndani ya siku 5
TZ yote inachukuliwa.
3) Serikali ya CCM imeiingiza TZ katika Shilikisho la A.Mashariki bila
ya wao wenyewe kukubali na pia ikijua bayana kuwa ardhi yetu inamezewa
mate, kisa tu eti wengine kati yao watakuwa wabunge katika Shilikisho
hilo (tama ya madaraka).
4) Serikali ya CCM kuwakemea Museveni na Kagame kwa uroho wao wa
madaraka ili ikibidi Shilikisho hilo la A.Mashariki likavunjika.Dunia
nzima inajua fika kuwa migogoro isiyoisha eneo la maziwa makuu
inasababishwa na Madikteta Museveni na Kagame ila tu eti serikali ya
CCM haijui inasababishwa na nini, Mfano ni misaada ya Kagame kwa Jean
Bikomagu (Burundi),Laurent Nkundabatware a.k.a Nkunda na M23 (DRC)
5) Serikali ya CCM iliruhusu ICTR-ardhini mwake (Arusha) chombo cha
Dikteta Kagame cha kumaliza wahutu wasomi ili aishi kwa raha mstarehe.
6) Serikali ya CCM iliwapokea wauji wa rais Laurent Kabila kabla
hawajasafilishwa kwa siri kwenda Ulaya (Norway) 7) Serikali ya CCM
haijamchukulia hatua mkuu wa wilaya ya Muleba aliyeteketeza nyumba 500
za wasukuma kupitiaeti 'operesheni okoa mazingira' dhidi ya wavamizi
haramu,akawaacha wanyarwanda nakuteketeza wasukuma.
8) Serikali ya CCM imewaajiri wanyarwanda katika nafasi mbalimbali;
Uhamiaji,TBS,Usalama wa taifa, JWTZ, Polisi, Magereza, wengine ni
Wabunge katika Bunge la Jamhuri ya Muungano kupitia CCM nenda mikoa y
Kigoma(Mjini) , Kagera na Geita (Busanda Yule aliyefariki) Ndani ya
ofisi za mawaziri,wengine ni washauri wa Rais. Madini ya DRC na TZ
ndio yanayojoijenga nchi ya Rwanda kupitia wanyarwanda walioshikilia
sekta nyeti katika nchi hizo, Wanyarwanda waishio TZ wanashirikiana na
wenzao nchini Rwanda ikiwa ni pamoja na kuchanga michango ya
kuwasaidia waasi DRC kupitia RWATAFA (Rwanda Tanzania Friendship
Assiciation) na TARAFA. (Tanzania Rwanda Friendship Association)

NINI SERIKALI YA TANZANIA IFANYE?
1) Serikali ipige marufuku RWATEFA (Rwanda Tanzania Friendship
Association) na TARAFA (Tanzania Rwanda Friendship Association) nchini
pamoja na kuwa ni vyombo vilivyoundwa kisheria kwani vinasaidia Waasi
DRC.
2) Serikali iunde vikwazo dhidi ya Rwanda na Burundi ili zitoke katika
Jumuiya ya A.Mashariki (Kagame ni muuaji) ikishindikana TZ na izieleze
nchi za Kenya na Burundi ukweli kuwa imejitoa sababu shilikisho hilo
Watusi/wanyarwanda wanataka kulitumia kutimiza azma yao ya kutawala
A.Mashariki na kati yote.
3) Serikali ya TZ iwaambie waziwazi Kagame na Museveni kuwa nyinyi ni
waroho wa madaraka na ni wauaji ndio maana eneo la maziwa makuu
machafuko hayaishi kwa sababu yenu.
4) Serikali ifanye uchunguzi dhidi ya wanyarwanda walioshikilia nafasi
sekta mbalimbali nchini huku watanzania wazawa wakiambiwa ajira
hakuna.
5) Serikali ya TZ ianzishe majeshi ya ya asili (Sungusungu na mgambo )
na wapewe kibali cha kusaka na kuwaua ng'ombe wote wa wanyarwanda na
waganda mikoa ya Kagera Kigoma na Geita wanaolishwa nchini mwetu huku
ng'ombe wa wazawa wasukuma wakikimbiziwa mikoa ya Katavi na Rukwa.
6) Viongozi wa mitaa/vitongoji, vijiji,kata, tarafa na wilaya kwa
kushirikiana na wananchi wa maeneo husika nchi nzima wanawajua fika
wavamizi haramu na adha zao wawaorodheshe kwa hatua zaidi zaidi na
hatua hizo zisichelewe nchi yazenda mwanawasu.
7) Serikali ifutilie mbali ICRT katika ardhi yake kwa kuwa ni chombo
cha kikabila cha Kagame (watusi) kuwamaliza wahutu wasomi na wale wote
wanaosema kuwa Kagame ashitakiwe mfano Pr.J Mwaikusa.
8) Serikali iwashughulikie mkuu wa wilaya ya Muleba na wale wote
alioshirikiana nao kuchoma nyumba za wasukuma Buligi baada ya kuhongwa
na wanyarwanda.
9) Serikali ya TZ isaidie ulimwengu kujua vyanzo vya mauaji ya rais
Melchior Ndadaye (Burundi) yaliyofanywa na J.Bikomagu kwa ushirikiano
wake na Kagame, utunguaji wa ndege iliyowabeba rais Habyarimana
(Rwanda) na rais Ntaryamira (Burundi), rais L. Kabila (DRC) kwani TZ
inajua wauaji wa marais hawa.
10) Serikali ya TZ iwanyang'anye ardhi wanyarwanda na warundi mikoani
Kagera na Kigoma .

MASWALI;
1) Visa vya kidini Ukisto na Uislam vilivyoshika kasi kubwa ghafla
hivi nchini vimetoka wapi? Hivi serikali ya CCM haimjui
aliyevianzisha ? CCM mmeharibu nchi kwa udini mulioueneza.
2) Hivi CCM hamuoni kuwa muko wabinafsi na mnaabudu rushwa kwa kuwapa
nyeo wanyarwanda Jeshini, Polisi, Wizarani, Ikulu, Uhamiaji, TBS, huku
mukiwandanganya watanzania eti ajira hakuna?
3) Malawi ikiungana na Museveni na Kagame TZ itasalimika?
4) TZ ikitokea ikavamiwa na Museveni na Kagame wanyarwanda walioko
Jeshi la TZ watasaidia upande gani?
5) Hivi viongozi wote wa CCM ni mashemeji wa Kagame?
6) Hivi J. Kikwete, G. Bilal, S. V. Nahodha mnafikiri mmasai na
mnyarwanda wakiomba kujiunga na Jeshi la Polisi TZ Kamanda Chagonja
anamuajiri na nani? Mmasai ? Thubutu,,,,

http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/393317-jumuiya-ya-afrika-mashariki-kuvunjika-uroho-wa-madaraka-wa-museveni-na-kagame-vyaiponza.html

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments