Pata ripoti ya Siri ya utajiri (Kwa nini watu wengine ni matajiri na wenginge ni masikini?) Ripoti hii inapatikana bure bila malipo yoyote kwa kutembelea na kujiunga na mtandao wa Mshauri wa biashara http://mshauriwabiashara.weebly.com/
Mshauri wa biashara Charles Nazi na mtunzi wa kitabu cha mbinu za biashara na maarifa ya kupata pesa na utajiri, ameanzisha program ya kuwasaidia watu wenye malengo ya kutafuta utajiri kufanikisha malengo bila malipo yoyote.
Mfumo kama huu umesaidia watu wengi duniani hasa katika nchi
zilizoendelea kwa haraka sana. Kwa mfano Anthony Robins huko Marekani alibadilisha maisha yake kutoka kwenye umasikini alivyokuwa akiishi kwenye nyumba ya kupanga na kuwa milionea kwa muda wa miaka 3. Aliweza kufanikiwa namna hii baada ya kumpata mwalimu Mentor aitwaye Jim Rohn. Ukitaka habari zaidi za watu hawa wawili unaweza kuzipata kwenye Google.
Kuna njia mbili za kutafuta utajiri njia ya kwanza ni ya kuhangaika mwenyewe bila msaada wowote hii ni njia ndefu. Njia ya pili ambayo ni fupi ni kutafuta Mwalimu,mshauri wa biashara mwenye mafanikio wa kukuongoza. Kwa kiingereza anaitwa (Mentor)
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 Comments