Nionavyo mimi falsafa hii inafanya kazi maana maandamano mengi japokuwa yanazuiwa kwa nguvu kubwa lakini utekelezaji unafanywa kwa haraka zaidi, wananchi tumeliona hilo na mafanikio yanaonekana na ndio yanayopelekea kila siku maandamano kufanyika ili kero ziweze kushughulikiwa kwa haraka.
Kwa hatua tuliyofikia mpaka kitu kidogo ndio upate huduma ,uwajibikaji hakuna,uadilifu sifuri n.k
“NGUVU YA UMMA” inafaa saana
safety has no luck play your role
Emmanuel G Mbise | Mine Captain Conventional| African Barrick Gold (Pty) | Phone: +255 (22) 2600 508 Ext: 6061 | Mobile: +255755347135 Fax: +255 (22) 2600 222 | Address: Bulyanhulu Gold Mine, African Barrick Gold, P.O. Box 1081, Dar es Salaam, Tanzania | Email EMbise@africanbarrickgold.com
0 Comments