Habari wadau,
Mwenye ufahamu katika hili naomba anijuze juu ya ajira ya katibu mkuu wa TFF ni aina gani?
Open contract? Au closed contract? Na kama ni closed contract ni muda gani katibu mkuu ana-assume majukumu yake?
Na je mkataba kama ni closed kuna room ya ku-renew?
Ahsanteni
Fred
MATURITY does not come with age, it begins with acceptance of Responsibility
Change is Essence to maturation
0 Comments