[wanabidii] Yaliyoyotangazwa na Cloudas kuhusu kufungwa Simba Morogoro ni kweli?

Tuesday, November 06, 2012
Jana nilikuwa ninasikiliza kipindi cha michezo kupitia Clouds FM, wakatangaza kuwa kufungwa kwa Simba mjini Morogoro kunasemekana kusababishwa, pamoja na mambo mengine, usiku wa kuamkia mechi, wachezaji wake walilala na kile walichokiita 'mizigo'.

Kuna ukweli wowote kuhusu hilo?

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments