[wanabidii] NDIGANA KALI (EAST COAST FEVER)

Tuesday, November 06, 2012
Ndigana Kali ni ugonjwa hatari unaowapata ng'ombe ukiwa na dalili ya
homa kali, kuvimba kwa matezi, upumuaji wa shida na vifo vingi hasa
kwa ndama. Ni ugonjwa unaoenezwa na kupe wanaojulikana kitaalamu kwa
jina la 'Rhipicephalus appendiculatus' wanao beba vijidudu vya ugonjwa
vinavyoitwa Theileria parva kundi la protozoa. Kupe hawa ni wale
wanaopatikana kwenye masikio la ng'ombe wakiwa na rangi ya kahawia
(kupe sikio kahawia). Maelezo zaidi juu ya ugonjwa huu soma hapa
http://achengula.blogspot.com/
--

*To all the questions of your life YOU are the most possible answer. To
all the problems of your life YOU are the best solution. Trust yourself*

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments