[wanabidii] Marufuku wanafunzi kushabikia kesi ya Ponda ”SERIKALI” - Mwanzo

Friday, November 02, 2012

SERIKALI imepiga marufuku wanafunzi wa shule zilizoko chini ya Jumuiya za Kiislamu, kwenda katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kusikiliza kesi inayomkabili Sheikh Issa Ponda na wenzake.

Hatua hiyo imekuja siku moja baada ya mmoja wa masheikh katika Msikiti wa Mtambani ulioko Kinondoni, jijini Dar es Salaam, Kondo Juma, kutangaza kuwa shule hizo zitafungwa ili kutoa nafasi kwa wanafunzi wake, kwenda mahakamani kusikiliza kesi ya Ponda.


http://wotepamoja.com/archives/9974#.UJP6_VN3xBI.gmail

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments