"Wapo wanaosema wewe Rais unatembea sana nje ya nchi, lakini bila kutembea kwako
tusingepata maendeleo tunayopata, hivyo tunakuomba uendelee kutembea ili tuendelee
kupata maendeleo zaidi," alisema Dk Magufuli.
Ikiwa matokeo ni kama haya hapa chini basi na sisi wa Zanzibar Ni Kwetu tunamuunga mkono
Dr Magufuli na kwa pamoja tunatamka:
0 Comments