[wanabidii] CCM yalaani shambulio la tindikali dhidi ya Sheikh Fadhili Soraga - Mwanzo

Tuesday, November 06, 2012
Chama Cha Mapinduzi kinasikitishwa na kitendo cha kinyama alichofanyiwa Sheikh Fadhili Soraga cha kumwagiwa tindikali sehemu ya uso na kifuani. Sheikh Soraga ni mtu maarufu hapa Zanzibar kwani huwa anashiriki katika shughuli mbali mbali za kidini hapa nchini, yeye ni Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar. Sheikh Soraga amefanyiwa unyama huo na watu wasiojuulikana  wakati akitoka kwenye mazowezi ya viungoasubuhi ya leo.
http://wotepamoja.com/archives/10123#.UJlZPxOpX-Y.gmail

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments