Kama Katiba ingeliruhusu basi JK tungelimuachia aendelee kwa miaka 5 myengine. Ni mtu kweli!
"Rais ambaye amerejea leo Jumanne Novemba 6, 2012 akitokea katika ziara ya kikazi
ya takriban juma moja katika mikoa ya Kilimanjaro, Arusha, Manyara na Singida", bila hata ya kupumzika
amjali raia wake aliehujumiwa japokuwa ni wa UAMSHO!!!
0 Comments