[wanabidii] TUNAKARIBISHA SASA WADHAMINI WA MOTIOVATIONAL TALK ZA MIKONO MEDIA

Tuesday, October 02, 2012

Kwa kampuni sasa tunakaribisha maombi yenu ya kudhamini Semina zetu hapa dsm,pia za kampuni za bia,sigara,na Biashara za ngono au zinachochea ngono Hatupokei,Njoo utangaze nasi upate faida kubwa ya mauzo na  kuimarika chapa yako kwa soko ,Wateja wetu wa semina ni Wamiliki wa biashara ndogo na kati,Seniors officer,C.E.O,academicians na viongozi wa nyanja zote.

Seminar yetu ijayo ni "appiness and it's causes" mtoa mada Professa Flora Fabian,Ukumbi ni Holiday inn hotel Roof top Hall

Terehe 12 october from 5pm to 8pm

Piga sasa  0717109362

Regards

Deogratius kilawe

C.E.O

MIKONO BUSINESS CONSULT

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments