Hi,
Inasemekana kutokana na habari tunazozipata kutoka Oman kuwa Rais Kikwete
jana alipata welcome ya ajabu ambayo Qaboos hajawahi kumpa Rais mwengine yoyote yule wa nchi.
Suala ni kuwa, je, na huyu mwarabu nae anataka kutuibia ardhi yetu au ni coincidence tu?
Au ni kwasababu Wazanzibari wengi wamo kwenye cabinet yake na kwahivyo wameyafanya mambo kuwa
mazuri zaidi kwa mtu wa kwao?
//John Nkumbaruko
0 Comments