"Hakuna mtu kusema Ziwa lote ni lake," alisema Waziri Bernard K. Membe (Mb), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na kuongeza kuwa lazima kuwe na dhamana inayoonesha mipaka, kanuni na sheria ili kuondoa wingu la shaka yoyote hususan kwa Taifa lolote na wananchi wake.
Aidha, Waziri Membe aliongeza kuwa Serikali ina jukumu la kumaliza mgogoro wa mpaka wa Ziwa Nyasa kati yake na Malawi, na jitihada muhimu zinafanyika ili kuumaliza kwa amani na utulivu.
http://wotepamoja.com/archives/9856#.UJAN67Y0njs.gmail --
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 Comments