[wanabidii] Hawa ndiyo maadui wa Waisalam na Uislam @MohamediMtoi - Mwanzo

Sunday, October 21, 2012

Ndugu zangu.

Tunapokuwa tunajiuliza mhemuko wa udini unatoka wapi au nani wameusababisha na kuuasisi, si vibaya tukajua maadui wakuu kwa upande wetu Waislamu. Ukimjua adui ni rahisi kupambana naye na ni nusu ya ushindi kwenye vita ya kutafuta haki au usawa au kuondoa tunao uita unyanyasaji kwa waislamu au mfumo kristo kama wengine wanavyopenda kuita (Mimi sio muumini wa dhana ya mfumo Kristo) maana nimeona wakati wote Waislamu wenzangu wakishika nafasi kubwa Serikalini, kwenye mashirika ya umma na hata mashirika binafsi.

Siuoni mfumo Kristo kama unavyoitwa au kama baadhi ya Waislamu wenzangu wengine wanavyotaka kuaminisha umma wa Kiislamu juu ya hii dhana.


http://wotepamoja.com/archives/9392#.UIPSVsPwbyY.gmail

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments