[wanabidii] Hatimaye Tendwa Akubali Kukutana na CHADEMA - Mwanzo

Saturday, October 20, 2012
HATIMAYE Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, John Tendwa amekubali kukutana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), baada ya kuwapo mvutano baina yake na chama hicho. Hatua hiyo inalenga kumaliza tofauti zilizopo baina ya msajili na chama hicho kikuu cha upinzani nchini.
http://wotepamoja.com/archives/9344#.UIJcj73d3TY.gmail

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments