[wanabidii] Fuel crissis in Dar

Monday, October 29, 2012
Wadau;

Wadau wa sekta hii ya nishati tuwekeni wazi tujue kama kuna tatizo la mafuta nchini; au ni janja ya wafanyabiashara ya kuficha bidhaa hii ili wananchi tuteseke??; Nimekwenda zaidi ya vituo 10 vya mafuta nikisaka bidhaa hii; sijui tatizo ni nini jmn; wenye taarifa mtujuze, hapa nilipo sina hata chembe ya mafuta ya petrol
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments