ENZI HIZO ZA BINADAMU KUVAA NGOZI MBWA KWA SABABU YA NJAA ALIKULA VAZI LA KIJAKAZI. KWA FAMILIA HIYO KITENDO HICHO KILIKUWA NI BURUDANI KWANI WALIMCHEKA HUYO MJAKAZI JINSI ALIVYOONEKANA UCHI. HAIKUPITA WIKI MBWA HUYO AKALA VAZI LA MWENYE NYUMBA, WEE WALIUAWA HATA WATOTO WA YULE MBWA. BASI POLISI MNAPOITWA KWENYE MATUKIO YA HATARI KWA RAIA FIKA WAKATI MUAFAKA SIO KONEKANA NA JAZBA YA KULIPZA VISASI KWA SABABU MBWA KALA NGOZI YA MWENYE NYUMBA --- On Mon, 10/15/12, MikiDadi Waziri <kabangatz@gmail.com> wrote:
|
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 Comments