Nimelikumbuka andiko langu
----- Forwarded Message -----
From: lucas haule <kisacha2003@yahoo.com>
To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>; Mabadilikotanzania <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, August 22, 2017 at 09:34:31 AM GMT+3
Subject: KWAKO KAMANDA MKUU
Shikamoo mzee
Wewe ndiye kamanda wa makamanda hapa kwetu kwenye nchi ya urithi.
Mtu mwerevu na shujaa wa mapambano, si mjivuni lakini mweredi. Kwako tunaona tunu ya uafrika na zao bora la nchi takatifu mama Tanzania.
Ni wewe pitio la seminari kule wapikao watu wanyenyekevu, wenye kujua nidhamu, watii na wacha Mungu. Iwe umepata au umeishia niani kabla ya daraja takatifu.
Nina andika waraka huu huku nikijinasibu kuwa hauta tuma wale vijana watekaji na watesaji kutenda miimo yao.
Nyerere, twamwita Baba wa taifa hili. Alipogombea au kupigania waweza ita kutafuta uhuru wa nchi hii hakuwa na maana ya kuwabagua wahindi, wazungu, waharabu ama watu wengine wasio wa asili ya uweusi.
Wewe si muuaji ( kwa maana kufurahia vifo vya holela) Ni mtoto wa kikurya, mwenye ushujaa wa kweli na si mpiganaji na watu duni, wanyonge, ama wasichana. Hakuna mkurya timamu akafanya upuuzi huu.
Ni wapi mwalimu Nyerere alifikia kuvunja sheria, kanuni, ama katiba kwa kuzuia mtanzania asiende sehemu nyingine ya nchi kushiriki kuijenga nchi?
Somo lipi ukaliunganisha na lipi kule seminari, ulifundishwa, kufanya aliyoyafanya Herode? ( kutaka kuua watoto kwa hofu ya mfalme kunyang'anywa ufalme wake)
Kama kuna kitu kinapandwa, yawezekana hukijui ( moyo wangu waniambia unakijua) Polisi kutumika kama mpinzani wa vyama vingine vya kisiasa na watu wengine wenye mawazo tofauti kuhusu mienendo ya viongozi na uendeshaji nchi. Una/ polisi wanapandikiza UBAGUZI kwa njia za wazi kabisa.
Nakukumbusha mzunguko wa unyanyasaji - Ukimnyanyasa mtoto leo, kesho mtoto atamnyanyasa mtoto mwingine mnyonge ama wadudu na wanyama walioko nyumbani. ( ukiona mtoto wako anapiga paka, anaua mende bila hofu) akili hata ikiwa ndogo kama yangu jua mtoto amepandikizwiwa ukatili). Muulize Kittila Mkumbo
Kuzuia viongozi wa vyama vingine waisende kushiriki siasa upande mwingine, huu ni ubaguzi mmbaya sana. CCM ambayo kadi zake tunazo mfukoni mwake, haiwezi kupendwa kwa kuzuaia watu/ wananchi wasisikie habari mbadala. Wakitaka hivyo wasikutumie wewe. Linda heshima yako ya leo na hata milele.
Kumbuka; ulizingiziwa tena kwakukosewa heshima mbele ya waziri mkuu kuwa eti, mtu anawasiwasi na wewe unashirikiana na wauza shishi na unga.
Tulipo simama nyuma yako hatukuwa punguani. Ukweli wa wewe tunaujua bila wewe kujiatangaza wala kujipendekeza. Shukrani waziri mkuu alitenda jambo jema. Tunakupenda sana.
Leo polisi Tarime wanamkamata kadada ka watu tena kanaenda kuchangia shule na mabweni. Ni serikali hii haitaki watoto wakike wenye ujauzito au waliojifungua waendelee na shule za serikali. ( unajua vizuri kule mara, mtoto asipoenda shule hata akiwa na miaka kumi na mbili nini kitamkuta akiwa wa kike)
Unataka watoto wa wakurya warudie kuwa wauza ndizi na mabeseni kichwani? Hawa wanaotoa amri hii baada ya miezi kadhaa wataenda makwao nandiyo watakao sema wakurya hawajasoma. Aibu hii itakuwa mikononi kwako.
Nani aliyesema, au maaligani pameandikwa kuwa ccm wanahaki zote kutembea na kufanya lolote katika ardhi ya tanzania, na vyama vingine siyo wa tanzania?
Hivyo vyama vikijinyanyua na kuanzisha mapambano ya kimyakimya, umepanga itakuchukua muda gani kumaliza hilo tatizo?
Unajua ama umejifunza njia mbalimbali za kuondoa uchungu? kama ndiyo unao wataalamu kiasi gani kuondoa uchungu na dhuruma hii inayotokea?
Je, umepanga ukistahafu tukukumbuke kama nani? Yule mpambe wa Idd amini bialamungu au Maliyamumgu wa uganda? Tukukumbe kama Sajenti Samweli do wa Laiberia? Tukukumbuke kama nani, mpenda kutesa wanawake na watoto? mtekaji? mlanyama za watu? mpenda sadaka za dhambi?
Nina amini nawe watambua utu wako, miiko ya kazi yako na tarehe za kustahafu kwako.
Nia yako njema ionyeshe kwa watanzania wote.
Naweza kujifunza kwamba hufurahii hali hii ila unalazimika kwa sababu labda( walioko madarakani ) wanataka hivyo kusudi yakitibuka watangaze hali ya hatari. ( km ni mimi niko tayari kujiuzu kuliko mshahara wa dhambi)
Sina shaka na umahiri wako, hili ni andiko langu mimi nisiye na kitu, mnyonge mwana poli, mtoto wa mpolipoli. Niite haywani jina linitialo nguvu.
Wakatabau chepo la Mwisho. Sifi mara mbili
3 Comments
Ushuhuda
REPLYNilivunjika moyo kabisa uhusiano wangu ulipoisha. Niliamini kweli kwamba nilikuwa nimepoteza mpenzi wa maisha yangu milele. Kisha nikampata Dkt. Dawn, na kila kitu kikabadilika.
Kwa wema, hekima, na mwongozo wenye nguvu, alirudisha upendo niliodhani ulikuwa umetoweka. Leo, tuna furaha zaidi kuliko hapo awali!
Dkt. Dawn aligeuza machozi yangu kuwa furaha kweli.
Dkt. Dawn Anaweza Kukusaidia Kwa:
✅ Uchawi wa Mapenzi
✅ Uchawi wa Mimba
✅ Kurejesha Ndoa / Uhusiano
✅ Tiba za Mimea kwa VVU, Ugonjwa wa Figo, Matatizo ya Moyo, Maambukizi, na zaidi
📧 Barua pepe: dawnacuna314@gmail.com
📞 Simu/WhatsApp: +2349046229159
Usiteseke kimya kimya. Dkt. Dawn anaweza kurudisha furaha maishani mwako!
Nilikuwa nikikabiliwa na mapambano mengi maishani mwangu, nikiwa nimezungukwa na nguvu mbaya na bila msaada kutoka kwa mtu yeyote. Kisha nikakutana na Dkt. Dawn, ambaye alinitambulisha kwa Illuminati. Baada ya kuanzishwa kwangu, nilipokea bonasi ya kukaribishwa ya $300,000, na tangu wakati huo, nimeendelea kupokea baraka zaidi.
REPLYLeo, mimi ni tajiri kweli na ninamshukuru Dkt. Dawn kwa kubadilisha maisha yangu.
Ikiwa kuna mtu yeyote hapa ana nia ya kujiunga na Illuminati, unaweza kuwasiliana na Dkt. Dawn kwa ajili ya kuanzishwa haraka na kwa kweli — hakuna dhabihu ya kibinadamu inayohusika.
WhatsApp: [ +2349046229159 ]
Sikuwahi kuamini kitu kama hiki kingeweza kunitokea hadi ndoa yangu ilipokaribia kuisha kabisa.
REPLYMume wangu alibadilika ghafla. Mwanaume ambaye hapo awali alinipenda na kunijali akawa baridi, asiyejali, na mwenye hasira bila sababu. Aliacha kuonyesha nia katika ndoa yetu, akaniepuka kabisa, na hatimaye akaniomba talaka. Nilivunjika moyo kwa sababu nilimpenda mume wangu kwa moyo wangu wote.
Mambo yalizidi kuwa mabaya aliponizuia kila mahali — WhatsApp, Facebook, Instagram — kana kwamba sijawahi kuwepo. Nililia kila usiku nikijiuliza nilifanya nini kibaya.
Siku moja, rafiki wa karibu alinitembelea na kunitambulisha kwa mtu wa kiroho anayeitwa Dkt. Dawn. Kwa kweli, mwanzoni nilikuwa na shaka, lakini niliamua kumweleza kila kitu kwa sababu sikuwa na chochote cha kupoteza.
Dkt. Dawn alinisomea mambo ya kiroho, na nilishtuka. Alifichua siri kuhusu ndoa yangu na maisha yangu binafsi ambayo hakuna mtu aliyejua. Kila kitu alichosema kilikuwa sahihi 100%. Kisha akafichua kwamba mwanamke mwingine alikuwa amemloga mume wangu. Mwanamke huyu alikuwa akimtembelea mara nyingi, na kwa upumbavu niliamini ilikuwa kuhusu kazi tu.
Dkt. Dawn alinisaidia kuvunja uchawi na akafanya ibada yenye nguvu ya kurejesha upendo kwa ndoa yangu.
Kwa mshangao wangu mkubwa, muda mfupi tu baadaye, mume wangu alinifungulia kizuizi mwenyewe na kuanza kunipigia simu na kunitumia ujumbe mwingi, akiniomba nimsamehe na nirudi nyumbani. Mwanzoni nilimpuuza kwa sababu ya maumivu aliyonisababishia, lakini hatimaye alirudi nyumbani akiwa na zawadi na machozi machoni mwake akiomba nafasi nyingine.
Leo, ndoa yetu ni imara zaidi, yenye furaha zaidi, na yenye amani zaidi kuliko hapo awali. Mapenzi kati yetu yanahisi upya kabisa.
Kana kwamba hiyo haitoshi, Dkt. Dawn baadaye alinisaidia na ibada ya ujauzito kwa sababu tulikuwa tumejitahidi kwa miaka mingi kupata watoto. Ndani ya wiki 8, nilipata mimba kiasili, na leo tumebarikiwa na wavulana wawili wazuri wenye afya njema.
Nitaendelea kushukuru milele.
Ukihitaji: Uchawi wa mapenzi wa kuungana tena na mpenzi wako wa zamani
. Usaidizi wa kurejesha ndoa
. Tamaduni za ujauzito za kupata mimba
. Usaidizi wa kiroho kwa kesi za mahakamani au kupona urithi
. Mwongozo na ulinzi wa kiroho
Ninapendekeza sana Dkt. Dawn. Ushuhuda wangu ni wa kweli, na furaha yangu leo ni uthibitisho. WhatsApp yake: +2349046229159
dawnacuna314@gmail.com