[wanabidii] Benki ya NMB na Mfuko wa MCF Wasaini mkataba kuzikopesha Hospitali Binafsi

Thursday, April 14, 2016
Benki ya NMB na Mfuko wa MCF Wasaini mkataba kuzikopesha Hospitali Binafsi



[caption id="attachment_70598" align="alignnone" width="612"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/04/IMG_0537.jpg" alt="Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Ukopeshaji Vifaa vya Afya Hospitalini (MCF), Bi. Monique Dolfing- Vogelenzang (kushoto) wakibadilishana nakala za mikataba mara baada ya hafla ya kusaini mikataba hiyo kumalizika, Makao Makuu ya Benki ya NMB jijini Dar es Salaam. " width="612" height="600" class="size-full wp-image-70598" /> Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Ukopeshaji Vifaa vya Afya Hospitalini (MCF), Bi. Monique Dolfing- Vogelenzang (kushoto) wakibadilishana nakala za mikataba mara baada ya hafla ya kusaini mikataba hiyo kumalizika, Makao Makuu ya Benki ya NMB jijini Dar es Salaam. [/caption]


[caption id="attachment_70601" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/04/IMG_0513.jpg" alt="Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Ukopeshaji Vifaa vya Afya Hospitalini (MCF), Bi. Monique Dolfing- Vogelenzang (kushoto) kwa pamoja wakisaini mkataba wa makubaliano na kushirikiana kuzikopesha Hospitali na Vituo vya Afya Binafsi vifaa kwa ajili ya kuviwezesha kutoa huduma. Katika Makubaliano hayo NMB itatoa mikopo nafuu kwa Hospitali zinazohitaji baada ya kuratibiwa na MFC.  " width="800" height="486" class="size-full wp-image-70601" /> Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Ukopeshaji Vifaa vya Afya Hospitalini (MCF), Bi. Monique Dolfing- Vogelenzang (kushoto) kwa pamoja wakisaini mkataba wa makubaliano na kushirikiana kuzikopesha Hospitali na Vituo vya Afya Binafsi vifaa kwa ajili ya kuviwezesha kutoa huduma. Katika Makubaliano hayo NMB itatoa mikopo nafuu kwa Hospitali zinazohitaji baada ya kuratibiwa na MFC.<br />[/caption]

[caption id="attachment_70593" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/04/DSC_2266.jpg" alt="Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (katikati) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari namna ambavyo Hospitali Binafsi ziotakavyonufaika na mikopo nafuu ambayo itatolewa kwa wahitaji mara baada ya kupata mafunzo na ushauri toka kwa mfuko wa MCF. Kulia ni Kaimu Ofisa Mkuu wa Wateja wadogo Benki ya NMB, Abdulmajid Nsekela na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa MCF, Bi. Dolfing- Vogelenzang. Mikopo inayotolewa itaanzia USD 15,000/- hadi USD 1,000,000/- kulingana na mahitaji ya kituo au hospitali yenyewe." width="800" height="503" class="size-full wp-image-70593" /> Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (katikati) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari namna ambavyo Hospitali Binafsi ziotakavyonufaika na mikopo nafuu ambayo itatolewa kwa wahitaji mara baada ya kupata mafunzo na ushauri toka kwa mfuko wa MCF. Kulia ni Kaimu Ofisa Mkuu wa Wateja wadogo Benki ya NMB, Abdulmajid Nsekela na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa MCF, Bi. Dolfing- Vogelenzang. Mikopo inayotolewa itaanzia USD 15,000/- hadi USD 1,000,000/- kulingana na mahitaji ya kituo au hospitali yenyewe.[/caption]

[caption id="attachment_70594" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/04/DSC_2267.jpg" alt="Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Ukopeshaji Vifaa vya Afya Hospitalini (MCF), Bi. Monique Dolfing- Vogelenzang (kushoto) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) namna ambavyo Hospitali binafsi zinavyopata changamoto katika kupata mitaji na kusisitiza ujio wa mikopo hiyo itazisaidia kiasi kikubwa." width="800" height="431" class="size-full wp-image-70594" /> Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Ukopeshaji Vifaa vya Afya Hospitalini (MCF), Bi. Monique Dolfing- Vogelenzang (kushoto) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) namna ambavyo Hospitali binafsi zinavyopata changamoto katika kupata mitaji na kusisitiza ujio wa mikopo hiyo itazisaidia kiasi kikubwa.[/caption]

[caption id="attachment_70595" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/04/IMG_0481.jpg" alt="Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (katikati) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari namna ambavyo Hospitali Binafsi ziotakavyonufaika na mikopo nafuu ambayo itatolewa kwa wahitaji mara baada ya kupata mafunzo na ushauri toka kwa mfuko wa MCF. Kulia ni Kaimu Ofisa Mkuu wa Wateja wadogo Benki ya NMB, Abdulmajid Nsekela na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa MCF, Bi. Dolfing- Vogelenzang. Mikopo inayotolewa itaanzia USD 15,000/- hadi USD 1,000,000/- kulingana na mahitaji ya kituo au hospitali yenyewe." width="800" height="466" class="size-full wp-image-70595" /> Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (katikati) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari namna ambavyo Hospitali Binafsi ziotakavyonufaika na mikopo nafuu ambayo itatolewa kwa wahitaji mara baada ya kupata mafunzo na ushauri toka kwa mfuko wa MCF. Kulia ni Kaimu Ofisa Mkuu wa Wateja wadogo Benki ya NMB, Abdulmajid Nsekela na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa MCF, Bi. Dolfing- Vogelenzang. Mikopo inayotolewa itaanzia USD 15,000/- hadi USD 1,000,000/- kulingana na mahitaji ya kituo au hospitali yenyewe.[/caption]

[caption id="attachment_70596" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/04/IMG_0493.jpg" alt="Kaimu Ofisa Mkuu wa Wateja wadogo Benki ya NMB, Abdulmajid Nsekela kizungumza na wanahabari kuelezea namna hospitali binafsi zinavyoweza kunufaika na mkataba wao na MCF. Kushoto akifuatilia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker. Mikopo inayotolewa itaanzia USD 15,000/- hadi USD 1,000,000/- kulingana na mahitaji ya kituo au hospitali yenyewe." width="800" height="520" class="size-full wp-image-70596" /> Kaimu Ofisa Mkuu wa Wateja wadogo Benki ya NMB, Abdulmajid Nsekela kizungumza na wanahabari kuelezea namna hospitali binafsi zinavyoweza kunufaika na mkataba wao na MCF. Kushoto akifuatilia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker. Mikopo inayotolewa itaanzia USD 15,000/- hadi USD 1,000,000/- kulingana na mahitaji ya kituo au hospitali yenyewe.[/caption]

[caption id="attachment_70597" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/04/IMG_0525.jpg" alt="Kaimu Ofisa Mkuu wa Wateja wadogo Benki ya NMB, Abdulmajid Nsekela kizungumza na wanahabari kuelezea namna hospitali binafsi zinavyoweza kunufaika na mkataba wao na MCF. Kushoto akifuatilia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker. Mikopo inayotolewa itaanzia USD 15,000/- hadi USD 1,000,000/- kulingana na mahitaji ya kituo au hospitali yenyewe." width="800" height="487" class="size-full wp-image-70597" /> Kaimu Ofisa Mkuu wa Wateja wadogo Benki ya NMB, Abdulmajid Nsekela kizungumza na wanahabari kuelezea namna hospitali binafsi zinavyoweza kunufaika na mkataba wao na MCF. Kushoto akifuatilia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker. Mikopo inayotolewa itaanzia USD 15,000/- hadi USD 1,000,000/- kulingana na mahitaji ya kituo au hospitali yenyewe.[/caption]

[caption id="attachment_70599" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/04/IMG_0543.jpg" alt="Maofisa wa Benki ya NMB na Mfuko wa MCF wakibadilishana mawazo nje ya ukumbi wa mikutano wa NMB baada ya kumaliza kusaini hati za makubaliano.  Katika utaratibu huo NMB itatoa mkopo kuanzia USD 15,000/- hadi USD 1,000,000/- kulingana na mahitaji ya kituo au hospitali yenyewe." width="800" height="499" class="size-full wp-image-70599" /> Maofisa wa Benki ya NMB na Mfuko wa MCF wakibadilishana mawazo nje ya ukumbi wa mikutano wa NMB baada ya kumaliza kusaini hati za makubaliano.  Katika utaratibu huo NMB itatoa mkopo kuanzia USD 15,000/- hadi USD 1,000,000/- kulingana na mahitaji ya kituo au hospitali yenyewe.[/caption]

[caption id="attachment_70600" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/04/IMG_0557.jpg" alt="Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Ukopeshaji Vifaa vya Afya Hospitalini (MCF), Bi. Monique Dolfing- Vogelenzang (kushoto) wakibadilishana nakala za mikataba mara baada ya hafla ya kusaini mikataba hiyo kumalizika, Makao Makuu ya Benki ya NMB jijini Dar es Salaam. Kulia ni Kaimu Ofisa Mkuu wa Wateja wadogo Benki ya NMB, Abdulmajid Nsekela akishuhudia." width="800" height="592" class="size-full wp-image-70600" /> Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Ukopeshaji Vifaa vya Afya Hospitalini (MCF), Bi. Monique Dolfing- Vogelenzang (kushoto) wakibadilishana nakala za mikataba mara baada ya hafla ya kusaini mikataba hiyo kumalizika, Makao Makuu ya Benki ya NMB jijini Dar es Salaam. Kulia ni Kaimu Ofisa Mkuu wa Wateja wadogo Benki ya NMB, Abdulmajid Nsekela akishuhudia.[/caption]




KAWAIDA:-



Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Ukopeshaji Vifaa vya Afya Hospitalini (MCF), Bi. Monique Dolfing- Vogelenzang (kushoto) kwa pamoja wakisaini mkataba wa makubaliano na kushirikiana kuzikopesha Hospitali na Vituo vya Afya Binafsi vifaa kwa ajili ya kuviwezesha kutoa huduma. Katika Makubaliano hayo NMB itatoa mikopo nafuu kwa Hospitali zinazohitaji baada ya kuratibiwa na MFC. 


Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Ukopeshaji Vifaa vya Afya Hospitalini (MCF), Bi. Monique Dolfing- Vogelenzang (kushoto) wakibadilishana nakala za mikataba mara baada ya hafla ya kusaini mikataba hiyo kumalizika, Makao Makuu ya Benki ya NMB jijini Dar es Salaam.


Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (katikati) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari namna ambavyo Hospitali Binafsi ziotakavyonufaika na mikopo nafuu ambayo itatolewa kwa wahitaji mara baada ya kupata mafunzo na ushauri toka kwa mfuko wa MCF. Kulia ni Kaimu Ofisa Mkuu wa Wateja wadogo Benki ya NMB, Abdulmajid Nsekela na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa MCF, Bi. Dolfing- Vogelenzang. Mikopo inayotolewa itaanzia USD 15,000/- hadi USD 1,000,000/- kulingana na mahitaji ya kituo au hospitali yenyewe.

 

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Ukopeshaji Vifaa vya Afya Hospitalini (MCF), Bi. Monique Dolfing- Vogelenzang (kushoto) wakibadilishana nakala za mikataba mara baada ya hafla ya kusaini mikataba hiyo kumalizika, Makao Makuu ya Benki ya NMB jijini Dar es Salaam. Kulia ni Kaimu Ofisa Mkuu wa Wateja wadogo Benki ya NMB, Abdulmajid Nsekela akishuhudia.


Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (katikati) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari namna ambavyo Hospitali Binafsi ziotakavyonufaika na mikopo nafuu ambayo itatolewa kwa wahitaji mara baada ya kupata mafunzo na ushauri toka kwa mfuko wa MCF. Kulia ni Kaimu Ofisa Mkuu wa Wateja wadogo Benki ya NMB, Abdulmajid Nsekela na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa MCF, Bi. Dolfing- Vogelenzang. Mikopo inayotolewa itaanzia USD 15,000/- hadi USD 1,000,000/- kulingana na mahitaji ya kituo au hospitali yenyewe.

 

Kaimu Ofisa Mkuu wa Wateja wadogo Benki ya NMB, Abdulmajid Nsekela kizungumza na wanahabari kuelezea namna hospitali binafsi zinavyoweza kunufaika na mkataba wao na MCF. Kushoto akifuatilia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker. Mikopo inayotolewa itaanzia USD 15,000/- hadi USD 1,000,000/- kulingana na mahitaji ya kituo au hospitali yenyewe.

 

Maofisa wa Benki ya NMB na Mfuko wa MCF wakibadilishana mawazo nje ya ukumbi wa mikutano wa NMB baada ya kumaliza kusaini hati za makubaliano.  Katika utaratibu huo NMB itatoa mkopo kuanzia USD 15,000/- hadi USD 1,000,000/- kulingana na mahitaji ya kituo au hospitali yenyewe.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments