[wanabidii] SHUGHULI YA MAWLID YA KUMSIFU MTUME WETU MUHAMMAD (S.A.W) IMEFANA SEGEREA MWISHO,DAR

Monday, March 21, 2016

SHUGHULI YA MAWLID YA KUMSIFU MTUME WETU MUHAMMAD (S.A.W) IMEFANA SEGEREA MWISHO,DAR

Uongozi wa Al Masjid Qubbah na  Madrasat Rahman ya Tabata Segerea Mwisho,Dar-es-salam inatoa shukurani kubwa sana kwa wale wote waliudhuria na kuchangia kwa kila hali kufanikisha shughuli ya Mawlid ya Mtume Muhammad (S.W.A) yaliyofanyika jumamosi 19 Machi 2016 katika viwanja vya madrasat Rahman Segerea mwisho,jiji Dar-es-salaam ambapo shughuli hiyo ilifana sana kuanzia saa 4 asubuhi kulianza na shughuli ya mawlid upanede wa wanawake hadi saa 10 alhasir,ambapo wanafunzi wa kike kutoka madrasa mbali mbali na akimama warishiki,ilipofika saa 2 usiku baada ya swala ya insha ndio kukaanza mawlid ya jumla ambako wageni,madrasa na wanazuoni mbali mbali walijumuika katika Mawlid haya mtume Muhammad (S.W.A) shughuli iliyojaa baraka tele ilimalizika jumapili asubuhi. Madrasa Rahaman Segerea mwisho inawashukuru pia wanahabari na mitandao yote ya kijamii kwani mchango wenu ni mkubwa ni mungu pekee atakaye walipa INSHAALLAH.
WABILLAH TAUFIQIH mawasiliano Simu 0777 000036, au 0712 840 960

www.facebook.com/profile.php?id=100006405199429


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments