[wanabidii] Mratibu Mkazi UN Bw. Rodriguez atembelea Kiwanda cha Kuchakata Muhogo Rufiji

Friday, March 18, 2016
Mratibu Mkazi UN Bw. Rodriguez atembelea Kiwanda cha Kuchakata Muhogo Rufiji 

[caption id="attachment_69464" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/03/IMG_0476.jpg" alt="Mratibu Mkazi na Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Bw. Alvaro Rodriguez (kulia) na Kiongozi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Mitaji (UNCDF), Peter Malika (katikati) wakipata maelezo kutoka kwa mmoja wa wasimamizi wa shamba la muhogo huku wakiangalia shina la muhogo mchanga kabla ya kukomaa." width="800" height="554" class="size-full wp-image-69464" /> Mratibu Mkazi na Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Bw. Alvaro Rodriguez (kulia) na Kiongozi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Mitaji (UNCDF), Peter Malika (katikati) wakipata maelezo kutoka kwa mmoja wa wasimamizi wa shamba la muhogo huku wakiangalia shina la muhogo mchanga kabla ya kukomaa.[/caption]


[caption id="attachment_69463" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/03/IMG_0468.jpg" alt="Mratibu Mkazi na Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Bw. Alvaro Rodriguez (kulia) pamoja na Kiongozi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Mitaji (UNCDF), Peter Malika (kushoto) wakiangalia sehemu ya tawi la mmea wa muhogo uliopo shambani walipotembelea moja ya mashamba ya wakulima wa mihogo Wilaya ya Rufiji jana." width="800" height="415" class="size-full wp-image-69463" /> Mratibu Mkazi na Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Bw. Alvaro Rodriguez (kulia) pamoja na Kiongozi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Mitaji (UNCDF), Peter Malika (kushoto) wakiangalia sehemu ya tawi la mmea wa muhogo uliopo shambani walipotembelea moja ya mashamba ya wakulima wa mihogo Wilaya ya Rufiji jana.[/caption]


<strong>MRATIBU</strong> Mkazi na Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania (UN), Alvaro Rodriguez amefanya ziara ya kutembelea mradi wa kiwanda cha kuchakata zao la muhogo 'African Starch Project' kilichopo Kata ya Bungu, Wilaya ya Rufiji Mkowa wa Pwani kuangalia namna kiwanda hicho kinavyo ongeza thamani za zao la muhongo na kuboresha kipata cha wakulima.

Katika ziara hiyo, Bw. Alvaro Rodriguez aliongozana na Kiongozi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Mitaji (UNCDF), Peter Malika ambaye shirika lake limekubali kusaidia kukiendeleza kiwanda hicho kupata mashine ya kisasa pamoja na uwezo wa nguvu kazi kuongeza ufanisi wa kiwanda.

Akizungumza katika kiwanda hicho, Bw. Malika alisema UNCDF imekubali kukisaidia kiwanda hicho ili kuinua hali ya kipato cha wakulima wa zao la muhogo wa Wilaya ya Rufiji ambao tayari walianza kuzalisha mazao hayo kwa kukitegemea kiwanda cha 'African Starch Project' ambacho kilisimamisha uzalishaji kutokana na uwezo mdogo wa mashine zake.

"...UNCDF tumekubali kutoa mtaji wa kuanzia pamoja na kuwezesha nguvu kazi ili kiwanda kiweze kujiendesha kibiashara na kuendelea kuwanufaisha wakulima wa zao la muhogo eneo hili...tayari wamehamasika na kilimo hiki baada ya kuletwa kwa mradi huu sasa tunataka kuuongezea nguvu zaidi," alisema Kiongozi na Mshauri wa Ufundi wa Shirika la UNCDF, Malika. 


[caption id="attachment_69446" align="alignnone" width="1000"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/03/IMG_0230-1024x683.jpg" alt="Mratibu Mkazi na Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Alvaro Rodriguez (kushoto) akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji walipotembelea ofisi hizo jana. Kulia ni Kiongozi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Mitaji (UNCDF), Peter Malika. " width="1000" height="667" class="size-large wp-image-69446" /> Mratibu Mkazi na Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Alvaro Rodriguez (kushoto) akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji walipotembelea ofisi hizo jana. Kulia ni Kiongozi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Mitaji (UNCDF), Peter Malika. [/caption]

[caption id="attachment_69447" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/03/IMG_0247.jpg" alt="Mtaalamu wa Mawasiliano, Ushirikiano na Utafutaji Mitaji kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Mitaji (UNCDF), Jacqueline Namfua akiwatambulisha Mratibu Mkazi na Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Alvaro Rodriguez (kushoto) na Kiongozi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Mitaji (UNCDF), Peter Malika (katikati) kwenye ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji walipotembelea ofisi hizo jana." width="800" height="500" class="size-full wp-image-69447" /> Mtaalamu wa Mawasiliano, Ushirikiano na Utafutaji Mitaji kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Mitaji (UNCDF), Jacqueline Namfua akiwatambulisha Mratibu Mkazi na Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Alvaro Rodriguez (kushoto) na Kiongozi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Mitaji (UNCDF), Peter Malika (katikati) kwenye ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji walipotembelea ofisi hizo jana.[/caption]

Kwa upande wake, Mkurugenzi Mtendaji Kanda wa FJS African Starch Development, Ibrahim M. Hape waendeshaji wa mradi huo alisema kwa sasa wakulima zaidi ya 500 wa zao la muhogo wameanza kunufaika na mradi huo ambao wamekuwa wakitegemea kukiuzia kiwanda muhogo wa kuchakata jambo ambalo limekuza kipato chao.

Alisema ufadhili wa UNCDF utakapokamilika kimtaji katika kiwanda chao zaidi ya wakulima 7000 watakuwa wakinufaika ndani ya miaka miwili, ambapo zao wanalolilima litaitajika kwa wingi kiwandani hivyo kuboresha hali za kiuchumi kwa jamii, lakini lengo kwa hapo baadaye ni kuhakikisha wakulima 10000 wananufaika na shughuli nzima za mradi huo wa kiwanda.

Aliongeza kuwa kwa sasa zaidi ya vijiji 20 wilayani Rufiji vinavyozunguka kiwanda hiko wananchi wake wapo tayari kufanya biashara ya kilimo kukipatia kiwanda muhogo wa kuchakata, ambapo watakuwa wakishiriki kuwawezesha wananchi katika vikundi ili waweze kufanya uzalishaji wa kutosha kiwandani.

Kwa upande wao baadhi ya wakulima wakiwemo akinamama waliozungumza katika ziara hiyo wamelishukuru shirika la UNCDF kwa kufadhili kiwanda hicho kwani tendo hilo limewahakikishia upatikanaji wa soko la uhakika kwa zao la muhogo, ambalo hapo awali lilikuwa likilegalega kutokana na kupoteza kiasi kikubwa cha mabaki ya zao hilo.

UNCDF inategemea kutumia takribani shilingi milioni 400 kwa ajili ya kukiwezesha kiwanda cha kuchakata zao la muhogo 'African Starch Project' kilichopo eneo hilo. Ziara ya viongozi hao ambao waliambatana na wajumbe wa manamawasiliano wa mashirika ya umoja wa mataifa iliwafikisha katika Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji na kufanya mazungumzo na viongozi wa halmashauri kujua changamoto anuai za kijamii.  

[caption id="attachment_69448" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/03/IMG_0333.jpg" alt="Ujumbe huo wa wanamawasiliano wa mashirika ya UN nchini Tanzania ukiongozwa na Mratibu Mkazi na Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Bw. Alvaro Rodriguez ukitembelea maeneo mbalimbali ya kiwanda." width="800" height="511" class="size-full wp-image-69448" /> Ujumbe huo wa wanamawasiliano wa mashirika ya UN nchini Tanzania ukiongozwa na Mratibu Mkazi na Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Bw. Alvaro Rodriguez ukitembelea maeneo mbalimbali ya kiwanda.[/caption]

[caption id="attachment_69449" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/03/IMG_0336.jpg" alt="Mratibu Mkazi na Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Bw. Alvaro Rodriguez (kushoto) akipata maelezo eneo ambalo mtambo unaosha muhogo kabla ya kuanza uchakataji. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji Kanda wa FJS African Starch Development, Ibrahim Hape akitoa maelezio." width="800" height="508" class="size-full wp-image-69449" /> Mratibu Mkazi na Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Bw. Alvaro Rodriguez (kushoto) akipata maelezo eneo ambalo mtambo unaosha muhogo kabla ya kuanza uchakataji. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji Kanda wa FJS African Starch Development, Ibrahim Hape akitoa maelezio.[/caption]

[caption id="attachment_69450" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/03/IMG_0338.jpg" alt="Mratibu Mkazi na Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Bw. Alvaro Rodriguez (kushoto) akipata maelezo eneo ambalo mtambo unaosha muhogo kabla ya kuanza uchakataji. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji Kanda wa FJS African Starch Development, Ibrahim Hape akitoa maelezio." width="800" height="512" class="size-full wp-image-69450" /> Mratibu Mkazi na Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Bw. Alvaro Rodriguez (kushoto) akipata maelezo eneo ambalo mtambo unaosha muhogo kabla ya kuanza uchakataji. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji Kanda wa FJS African Starch Development, Ibrahim Hape akitoa maelezio.[/caption]

[caption id="attachment_69451" align="alignnone" width="1000"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/03/IMG_0346-1024x683.jpg" alt="Ujumbe huo wa wanamawasiliano wa mashirika ya UN nchini Tanzania ukiongozwa na Mratibu Mkazi na Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Bw. Alvaro Rodriguez ukitembelea maeneo mbalimbali ya kiwanda." width="1000" height="667" class="size-large wp-image-69451" /> Ujumbe huo wa wanamawasiliano wa mashirika ya UN nchini Tanzania ukiongozwa na Mratibu Mkazi na Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Bw. Alvaro Rodriguez ukitembelea maeneo mbalimbali ya kiwanda.[/caption]

[caption id="attachment_69452" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/03/IMG_0349.jpg" alt="Mkurugenzi Mtendaji Kanda wa FJS African Starch Development, Ibrahim Hape (kushoto) akielezea namna kiwanda hicho kinavyofanya kazi. Kutoka kulia wanaomsikiliza ni Ofisa Habari wa Shirika la Kazi Duniani nchini Tanzania, Magnus Minja, Kiongozi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Mitaji (UNCDF), Peter Malika na Mratibu Mkazi na Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Bw. Alvaro Rodriguez." width="800" height="594" class="size-full wp-image-69452" /> Mkurugenzi Mtendaji Kanda wa FJS African Starch Development, Ibrahim Hape (kushoto) akielezea namna kiwanda hicho kinavyofanya kazi. Kutoka kulia wanaomsikiliza ni Ofisa Habari wa Shirika la Kazi Duniani nchini Tanzania, Magnus Minja, Kiongozi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Mitaji (UNCDF), Peter Malika na Mratibu Mkazi na Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Bw. Alvaro Rodriguez.[/caption]

[caption id="attachment_69453" align="alignnone" width="720"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/03/IMG_0351.jpg" alt="Mkurugenzi Mtendaji Kanda wa FJS African Starch Development, Ibrahim M. Hape (wa kwanza kushoto) akiwaelezea wajumbe waliotembelea kiwanda hicho namna kinavyofanya kazi. Ujumbe huo wa wanamawasiliano wa mashirika ya UN nchini Tanzania uliongozwa na Mratibu Mkazi na Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Alvaro Rodriguez (wa tatu kulia). Kutoka kulia ni Ofisa Habari wa Shirika la Kazi Duniani nchini Tanzania, Magnus Minja na Peter Malika Kiongozi wa UNCDF. " width="720" height="600" class="size-full wp-image-69453" /> Mkurugenzi Mtendaji Kanda wa FJS African Starch Development, Ibrahim M. Hape (wa kwanza kushoto) akiwaelezea wajumbe waliotembelea kiwanda hicho namna kinavyofanya kazi. Ujumbe huo wa wanamawasiliano wa mashirika ya UN nchini Tanzania uliongozwa na Mratibu Mkazi na Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Alvaro Rodriguez (wa tatu kulia). Kutoka kulia ni Ofisa Habari wa Shirika la Kazi Duniani nchini Tanzania, Magnus Minja na Peter Malika Kiongozi wa UNCDF. [/caption]

[caption id="attachment_69454" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/03/IMG_0361.jpg" alt="Ujumbe huo ukipata maelezo sehemu ya mitambo ya kiwanda cha kuchakata zao la muhogo inavyofanya kazi kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji Kanda wa FJS African Starch Development, Ibrahim Hape (aliyenyoosha mkono)." width="800" height="533" class="size-full wp-image-69454" /> Ujumbe huo ukipata maelezo sehemu ya mitambo ya kiwanda cha kuchakata zao la muhogo inavyofanya kazi kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji Kanda wa FJS African Starch Development, Ibrahim Hape (aliyenyoosha mkono).[/caption]

[caption id="attachment_69455" align="alignnone" width="1000"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/03/IMG_0363-1024x683.jpg" alt="Ujumbe huo ukipata maelezo sehemu ya mitambo ya kiwanda cha kuchakata zao la muhogo inavyofanya kazi kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji Kanda wa FJS African Starch Development, Ibrahim Hape (aliyenyoosha mkono)." width="1000" height="667" class="size-large wp-image-69455" /> Ujumbe huo ukipata maelezo sehemu ya mitambo ya kiwanda cha kuchakata zao la muhogo inavyofanya kazi kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji Kanda wa FJS African Starch Development, Ibrahim Hape (aliyenyoosha mkono).[/caption]

[caption id="attachment_69456" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/03/IMG_0388.jpg" alt="Mkurugenzi Mtendaji Kanda wa FJS African Starch Development, Ibrahim M. Hape akiwaelezea wajumbe waliotembelea kiwanda hicho (hawapo pichani) namna bidhaa aina ya Starch na unga wa muogo unavyozalishwa mara baada ya kuchakata muhogo." width="800" height="494" class="size-full wp-image-69456" /> Mkurugenzi Mtendaji Kanda wa FJS African Starch Development, Ibrahim M. Hape akiwaelezea wajumbe waliotembelea kiwanda hicho (hawapo pichani) namna bidhaa aina ya Starch na unga wa muogo unavyozalishwa mara baada ya kuchakata muhogo.[/caption]

[caption id="attachment_69457" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/03/IMG_0391.jpg" alt="Mkurugenzi Mtendaji Kanda wa FJS African Starch Development, Ibrahim M. Hape (wa kwanza kushoto) akiwaelezea wajumbe waliotembelea kiwanda hicho namna kinavyofanya kazi. Ujumbe huo wa wanamawasiliano wa mashirika ya UN nchini Tanzania uliongozwa na Mratibu Mkazi na Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Alvaro Rodriguez (wa tatu kulia). Kutoka kulia ni Ofisa Habari wa Shirika la Kazi Duniani nchini Tanzania, Magnus Minja na Peter Malika Kiongozi wa UNCDF. " width="800" height="480" class="size-full wp-image-69457" /> Mkurugenzi Mtendaji Kanda wa FJS African Starch Development, Ibrahim M. Hape (wa kwanza kushoto) akiwaelezea wajumbe waliotembelea kiwanda hicho namna kinavyofanya kazi. Ujumbe huo wa wanamawasiliano wa mashirika ya UN nchini Tanzania uliongozwa na Mratibu Mkazi na Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Alvaro Rodriguez (wa tatu kulia). Kutoka kulia ni Ofisa Habari wa Shirika la Kazi Duniani nchini Tanzania, Magnus Minja na Peter Malika Kiongozi wa UNCDF. [/caption]

[caption id="attachment_69458" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/03/IMG_0404.jpg" alt="Mratibu Mkazi na Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Bw. Alvaro Rodriguez (kulia) akizungumza na baadhi ya wakulima wanaonufaika na kiwanda cha kuchakata zao la muhogo &#039;African Starch Project&#039; kilichopo Kata ya Bungu, Wilaya ya Rufiji Mkowa wa Pwani jana walipofanya ziara katika mradi huo uliombioni kusaidiwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Mitaji (UNCDF) kwa manufaa ya wakulima wa muhogo eneo hilo." width="800" height="493" class="size-full wp-image-69458" /> Mratibu Mkazi na Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Bw. Alvaro Rodriguez (kulia) akizungumza na baadhi ya wakulima wanaonufaika na kiwanda cha kuchakata zao la muhogo 'African Starch Project' kilichopo Kata ya Bungu, Wilaya ya Rufiji Mkowa wa Pwani jana walipofanya ziara katika mradi huo uliombioni kusaidiwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Mitaji (UNCDF) kwa manufaa ya wakulima wa muhogo eneo hilo.[/caption]

[caption id="attachment_69459" align="alignnone" width="698"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/03/IMG_04101.jpg" alt="Mmoja wa wakulima wa muhogo wanaonufaika na uwepo wa kiwanda cha kuchakata zao la muhogo &#039;African Starch Project&#039; kilichopo Kata ya Bungu  akielezea wanavyonufaika kwa ujumbe wa wanamawasiliano wa mashirika ya UN nchini Tanzania walipotembelea mradi huo jana Wilaya ya Rufiji Mkowa wa Pwani. " width="698" height="600" class="size-full wp-image-69459" /> Mmoja wa wakulima wa muhogo wanaonufaika na uwepo wa kiwanda cha kuchakata zao la muhogo 'African Starch Project' kilichopo Kata ya Bungu  akielezea wanavyonufaika kwa ujumbe wa wanamawasiliano wa mashirika ya UN nchini Tanzania walipotembelea mradi huo jana Wilaya ya Rufiji Mkowa wa Pwani.<br />[/caption]

[caption id="attachment_69460" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/03/IMG_0413.jpg" alt="Mratibu Mkazi na Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Alvaro Rodriguez (kushoto) akizungumza na baadhi ya wakulima wanaonufaika na kiwanda cha kuchakata zao la muhogo &#039;African Starch Project&#039; kilichopo Kata ya Bungu, Wilaya ya Rufiji Mkowa wa Pwani jana walipofanya ziara katika mradi huo uliombioni kusaidiwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Mitaji (UNCDF) kwa manufaa ya wakulima wa muhogo eneo hilo." width="800" height="480" class="size-full wp-image-69460" /> Mratibu Mkazi na Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Alvaro Rodriguez (kushoto) akizungumza na baadhi ya wakulima wanaonufaika na kiwanda cha kuchakata zao la muhogo 'African Starch Project' kilichopo Kata ya Bungu, Wilaya ya Rufiji Mkowa wa Pwani jana walipofanya ziara katika mradi huo uliombioni kusaidiwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Mitaji (UNCDF) kwa manufaa ya wakulima wa muhogo eneo hilo.[/caption]

[caption id="attachment_69461" align="alignnone" width="653"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/03/IMG_0419.jpg" alt="Kiongozi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Mitaji (UNCDF), Peter Malika akizungumza na baadhi ya wanahabari na ujumbe wa wanamawasiliano (hawapo pichani) baada ya ziara ya kukitembelea kiwanda cha kuchakata zao la muhogo &#039;African Starch Project&#039; kilichopo eneo la Bungu Wilaya ya Rufiji jana." width="653" height="600" class="size-full wp-image-69461" /> Kiongozi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Mitaji (UNCDF), Peter Malika akizungumza na baadhi ya wanahabari na ujumbe wa wanamawasiliano (hawapo pichani) baada ya ziara ya kukitembelea kiwanda cha kuchakata zao la muhogo 'African Starch Project' kilichopo eneo la Bungu Wilaya ya Rufiji jana.[/caption]

[caption id="attachment_69462" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/03/IMG_04321.jpg" alt="Mmoja wa wakulima wa muhogo wanaonufaika na uwepo wa kiwanda cha kuchakata zao la muhogo &#039;African Starch Project&#039; kilichopo Kata ya Bungu  akielezea wanavyonufaika kwa ujumbe wa wanamawasiliano wa mashirika ya UN nchini Tanzania walipotembelea mradi huo jana Wilaya ya Rufiji Mkowa wa Pwani. " width="800" height="484" class="size-full wp-image-69462" /> Mmoja wa wakulima wa muhogo wanaonufaika na uwepo wa kiwanda cha kuchakata zao la muhogo 'African Starch Project' kilichopo Kata ya Bungu  akielezea wanavyonufaika kwa ujumbe wa wanamawasiliano wa mashirika ya UN nchini Tanzania walipotembelea mradi huo jana Wilaya ya Rufiji Mkowa wa Pwani.<br />[/caption]

[caption id="attachment_69465" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/03/IMG_0485.jpg" alt="Kutoka kushoto ni Mtaalamu wa Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Hoyce Temu, Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Bw. Rodriguez pamoja na Kiongozi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Mitaji (UNCDF), Peter Malika wakitembelea moja ya mashamba ya zao la muhogo wilayani Rufiji jana. " width="800" height="518" class="size-full wp-image-69465" /> Kutoka kushoto ni Mtaalamu wa Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Hoyce Temu, Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Bw. Rodriguez pamoja na Kiongozi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Mitaji (UNCDF), Peter Malika wakitembelea moja ya mashamba ya zao la muhogo wilayani Rufiji jana. [/caption]
<strong>*Imeandaliwa na www.thehabari.com</strong>

--
___________________________________________________________________________________
Joachim Mushi, Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na Mhariri Mkuu wa Thehabari.com.
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066 / 0756 469470
Web:- www.thehabari.com  
          http://joemushi.blogspot.com

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments