Chama cha Wanasheria Tanganyika kinawaalika wananchi wote kwenye kongamano la kujadili changamoto za kisheria zilizojitokeza katika uchaguzi mkuu wa 2015 Kwa Jamhuri ya Muungano na Zanzibar. Kongamano litafanyika ukumbi wa Blue Pearl Ubungo Plaza kesho jumapili tarehe 24/01/2016 kuanzia saa Saba Mchana hadi saa kumi na mbili jioni. Kiingilio ni uzalendo wako. Wachokoza mada ni:
1. Wakili Harold Sungusia gwiji wa Katiba na Haki za Binadamu,
2. Wakili Fatma Amani Karume mtaalamu wa Sheria za kimataifa, biashara na masuala ya Muungano
3. Wakili Othman Masoud Mwanasheria Mkuu Mstaafu wa Zanzibar
4. Wawakilishi wa Vyama vya Siasa. Mpaka sasa tumepokea mwakilishi wa CUF ambaye ni Ismail Jussa tunasubiri wawakilishi wa vyama vingine. Imetolewa na Kamati ya Katiba na Sheria ya Chama cha Wanasheria Tanganyika.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments