[wanabidii] Mafunzo ya ujasiriamali kilimo na ufugaji wa kuku kwa wtatu wote

Monday, January 18, 2016


Kampuni ya CPM Business Consultants, itaendesha mafunzo ya ujasiriamali na kilimo biashara na ufugaji wa kuku kwa watu wote kwa kiingilio cha sh.10,000 kwa kilamshiriki kwa mafunzo yote, pia vitabu vya ujasiriamali vitauzwa kwenye mafunzo. Mafunzo haya yataendeshwa katika ofisi yetu Kimara Baruti karibu na Bahama Mama, kuanzia siku ya Jumanne tarehe 19/1/2016 hadi juma mosi tarehe 23/1/2016.Kila siku mafunzo yataanza saa 4 asubuhi mpaka saa 7 mchana.

Muwezeshaji ni Charles Nazi Mshauri wa biashara na Mtunzi wa kitabu cha mbinu za biashara. Mada zitakazofundishwa ni kama ifuatavyo;
1. Namna ya kuanzisha na kuendesha biashara
2 Namna ya kufanya biashara kupitia mtandao wa internet.
3. Namna ya kuwekeza fedha zako hata kama una fedha kidogo
4. Namna ya kuendesha kilimo na ufugaji wa kuku kibiashara.

Kwa wale ambao watapenda kuhudhuria mafunzo hayo wapige simu au watume ujumbe kwenye simu namba 0784394701 kupata maelezo zaidi.
CHARLES NAZI
MSHAURI WA BIASHARA

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments