Nilijiuliza sana mazingira aliyotolea onyo hilo kali. Mwanzaoni nilifikiri amemtuma katibu Mkuu Kiongozi. Baadaye nikakutana na hotuba hiyo.
Nimejifunza vitu vingi.\
Moja muhimu ni kuwa waandishi wetu hawatusauidii kwenda tunakotaka na tunakolenga na Rais wetu anakotupeleka
Katika hotuba ya rais kulikuwa na mambo mengi mazuri na muhimu yaliyostahili kubebwa na vichwa vya habari kuliko hiki cha onyo la rais.
Mtu angeweza kuchambua mambo mengi yaliyo wazi na yanayojitokeza.
Ilikuwa wazi kuwa Rais aliweka wazi myanya ambayo wafanya biashara wa kitnzania wakiwekeza watakuwa wanamiliki misingi ya uchumi wa taifa lao.
1) Alitaja jinsi siku ya kukamata meli ya samaki za magufuli kulikuwa na meli nyingi ambazo baadhi zilitoroka na samaki zetu. Iliyokamatwa wakati wenye nayo wanasema walikuwa na tani 70 za samaki kumbe walikuwa na tani 300. Akawashauri watanzania kuwekeza humo.
2) Alieleza jinsi mchanga wetu unavyobebwa na kupelekwa nje ili kutafiti madini ambayo Mtanznia anaweza kujenga kijiko cha kuchemsha mchanga huo madini yakachakatwa hapa kwetu.. Utaratibu wa kuusafirisha mpaka bandarini unaacha umeharibu barabara zetu na kwenda nje kutuibia.
3) Alielezea juu ya madini ya Tanzanite ambayo wakati yanatoka Tanzania tu lakini Tanzania ni nchi ya tatu duniani kuuza madini hayo. Akawahimiza wafanyabiashara wetu kuangalia hapo.
4) Alielezea makusudi ya serikali kupunguza kodi zisizo za lazima ili kuleta nafuu kwa wafanya biashara.
5) Alieleza jinsi ambavyo serikali yake itapunbguza irasimu kiasi mtanzania akitaka kuwekeza haitachukua muda mrefu kupata vibali vyote. Akaonya watendaji wasiwe sababu ya kuchelewesha uwekezaji.
6) Alieleza na mambo mengine mengi na ndipo akawataka wafanya biashara kulipa kodi.
7) Alieleza umuhimu wa kulipa kodi kuwa tangu budget ya 2015/16 ipite Serikali imepeleka kwa mara ya kwanza fedha za miradi ya maendeleo majuzi. Siku zote imekuwa ikilipa mishahara na matanuzi mengine. Akawataka walipe kodi na hapo ndipo akaonya waliokwepa kodi.
Lakini vilevile kikao hicuo kina mambo mengi ya uchambuzi. Mfano:
1) Rais ajiweka karibu na wafanya biashara. Mkutano huo umemuweka karibu na wafanya biashara na mahusianao yake yatakuwa ni yale ya kulinufaisha taifa. Aliwahakikishia kuwa kutowaomba michango wakati wa kampeni alitaka kutomilikiwa nao lakini kukutana nao ikiwa jumuia ya kwanza imemuweka karibu. Hata hivyo ukaribu wake sio ule utakaolinyima taifa mapato.
2) Uwekezaji wa watanzania unawafanya wawe watumwa. Myanya mingi inayochangamkiwz na wageni ni ile iliyo muhimu kwa taifa. Mfano Uvuvi, Kilimo, Madini, Mafuta na gesi nakadhalika. Watanzania wengi wanawekeza katika vyombo vya habari, blogs nakadhalika. Umiliki wa uchumi wa taifa utawategemea watanzania ikiwa watawekeza katika maeneo ------------.
Mimi ninafikiri vyombo vyetu vitachangia maendeleo kama vitaacha kuchagua kuandika maeneo yenye ugonvi ugonvi na amri amri. Badala yake wakaandika maeneo yanayotoa gtaarifa zinazowasaidia watanzania kuinua uchumi.
Elsa Muhingo
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments