[wanabidii] WATANZANIA WANAELEKEA KUKATAA HAYA?

Wednesday, October 28, 2015
---
matokeo ya urais yanaashilia Magufuli kushinda uchaguzi.
haikutarajiwa watanzania kumchagua kiongozi wa Tanzania kutoka CCM. Si kwa sababu hakuna ilichokifanya bali kwa sababu ambacho haikukifanya kinagusa maisha ya wananchi moja kwa moja-Maji, afya nakadhalika.
naona watanzania wamekataa mambo haya katika kura yao:
wamwkataa kuikabidhi nchi yao kwa taasisi inayotiliwa mashaka.
1) Mpaka tunakaribia uchaguzi CHADEMA haina mtu (Mgombea) wa kusimama na kutetea agenda yake? inahangaika mara Warioba mara Lowasa? haina msemaji wake? Mara Kingunge, mara Sumaye?

2) Tunakaribia uchaguzi taasisi inatelekeza agenda yake iliyoifanya ijulikane? tena inafanya hiyo kusudi mgombea iliyemuokota ameikataa?

3) Taasisi inayotaka kuiongoza nchi na haijui historia ya nchi yetu? Inasema katika miaka hamsini hakuna kilichofanyika?

4) Taasisi isiyotambua kazi iliyofanywa na vyama vilivyolikomboa taifa? inavitukana? Inasema 'vyma vinavyojiita vya ukombazi'? inawasikiliza waliotutawala katika sera yao mpya? haina tahadhali yoyote nao, badala yake inajihadhali na inaotaka waikabidhi madaraka?

5) Taasisi isiyo na organization?

Watanzania wana akili kumbe! Ninafikiri kuna watu ndani ya taasisi hizi wanastahili kujifunza kusikiliza ng'ambo ya pili. Leo ndiyo nakubaliana na warioba kuwa nchi kama Tanzania ili iweze kusonga mbele hatujawa na cyama vinavyoweza kuliongoza taifa hili. Watanzania wamekataa kusikiliza maneno ya 'Kenya ilifanya, Zambia, Malawi'. Wao wameangalia taifa lao ambalo ni jamhuri ya MUUNGANO. Kila mwenye akili sasa, atawaingia kwa tahadhali.
Nawapongeza sana. Walisema 'Kwa sasa mzee tunampigia Lowasa ila tarehe 25 tutampigia Magufuli'. Nilifikiri wanatania.

Elisa Muhingo
You received this
message because you are subscribed to the

Google Groups "Wanabidii" group.


To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.


--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments