Naiona heshima ya Dr. Slaa ikirudi kwa kasi
Mzee huyu aliamua kufanya subra tu kwa sababu alijua ngoma ya watoto haikeshi, hakika Dr Slaa kwa kupinga kwake mafisadi kupewa nafasi CDM akasimamia msimamo wake aliouamini amepata sifa kubwa sana kwa wazalendo wa Tz wamejua sasa pumba na mchele.
Nakuombea maisha marefu Dr urudi tena kufundisha vijana, kukuza vijana ambao watalitumikia Taifa siku zijazo
0 Comments