GWAJIMA: Maombi yako hayajafanikiwa?
Wanabodi,
Hadi Muda huu inaonekana kuwa JPM anaongoza kwa kura za Urais na siyo rahisi kwa Bw. EL kufuta gape iliyopo.Ninachojiuliza, siku ya kufunga kampeni pale Jangwani, yule Mchungaji Maarufu kwa jina "Mshenga" aliomba kwa nguvu zake zote akitaka Mungu abadilishe mioyo ya Watanzania na kumpigia EL kura kwa Wingi; je,Mungu hakusikiliza maombi yake? Je, watu wataendelea kuwa na Imani na Maombi yake?
0 Comments