Ndugu zangu,
Nimepata kufuatilia mchuano wa Bush (Baba) na Clinton mwaka 1992.
Bush na Clinton kwa pamoja hawakupenda kuwa na Ross Perrot kwenye mdahalo kwa sababu za kimkakati. Stretegists wa CCM baada ya kujihakikishia kuwa Edward Lowassa hatashiriki mdahalo, wako sahihi kimkakati kumzuia mgombea wao John Magufuli kutoshiriki mdahalo. Third major candidate na ambaye ana impact lakini hawezi kuwa rais, na hapa ni Anna Mghwira wa ACT can be irritant na kumsababishia major candidate kama Magufuli kupoteza points. Kimkakati, kama Edward angeshiriki, John nae angetinga, na wote wawili wangekuwa uncomfortable na Anna...
Maggid
-- Nimepata kufuatilia mchuano wa Bush (Baba) na Clinton mwaka 1992.
Bush na Clinton kwa pamoja hawakupenda kuwa na Ross Perrot kwenye mdahalo kwa sababu za kimkakati. Stretegists wa CCM baada ya kujihakikishia kuwa Edward Lowassa hatashiriki mdahalo, wako sahihi kimkakati kumzuia mgombea wao John Magufuli kutoshiriki mdahalo. Third major candidate na ambaye ana impact lakini hawezi kuwa rais, na hapa ni Anna Mghwira wa ACT can be irritant na kumsababishia major candidate kama Magufuli kupoteza points. Kimkakati, kama Edward angeshiriki, John nae angetinga, na wote wawili wangekuwa uncomfortable na Anna...
Maggid
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments