Without a further do..naomba niuulize je miezi miwili iliyopita ulishawahi kuwaza kwamba ingekuja tokea eti kwa hawa chadema kupanda jukwaani na kusema kwamba Dr Slaa ni kibaraka na anatumika na ccm kama wanavyosema hivi sasa?
pia ulishawahi kuwaza kwamba wasemaje wakuu wa kampeni za chadema watakuwa watu kama kina kingunge..lowasa..sumaye..mako ngoro mahanga...Lawarence masha na kadhalika?
Ulishawahi kuwaza kwamba ingekuja tokea sasa hoja ya ufisadi ndani ya upinzani kufa chalii ndembe ndembee kifo cha mendee?Naendelea...
Bila shaka hukuwahi kuwazia vitu kama hivyo.
Mimi bado dhamira yangu inaendelea sana kunisuta..kiufupi wala sitishwi na huu uwingi wa watu kwenye mikutano ya upinzan kwan najua ni haki ya kila mtu kuhudhuria na kusikiliza sera na mwsho wa siku october 25 afanye maamuz sahihi.
Kiukweli ukiangalia kwa jicho la mwewe katika kila kinachoendelea ndani ya ukawa kwa sasa utapata majibu mawili.
1.kwa huku bara ni Operation ya kaskazini manifesto ikisimamiwa na chadema ya mbowe,sumaye na lowasa.
2.Visiwani ni Operation tokomeza muungano by anymeans necessary ikisimamiwa na maalim seif na juma duni haji thats why alifikia hadi hatua ya kusacrifice uachama wa cuf na kukimbilia chadema ili mradi lengo hilo liweze kutimia...
Today i want to tell chadema na woote wanaolishupalia hili...
We know that ccm has failed us kwa mambo meengi sana.
But we are not desparate to the extent ya kuifanya akili za wapiga dili kama ya mbowe,mtei family na lowasa na rafiki zake kina rostam washike hatma ya maisha yetu watanzania kwa changa la macho la mabadiliko..Hell NO..Big No..!!
Na kama hamtaki hili tuombe uhai hadi october 25...
Haiwezekani watu wenye uchungu na nchi hii kama Prof Lipumba na Dr Slaa leo waonekane taka taka then watu waliotufikisha kwenye haya matatizo kama Sumaye na Lowasa leo wasimame kwenye majukwaa ya upinzani na kuhubiri changes na sisi tuliamin hilo.
What kind of changes are they talking about?
Ulutheri?Udini ukanda na ukabila au Ukaskazin zamu yao imefika sasa?
Ni nyinyi chadema siku zote mmetuimbisha nyimbo za kuwa huyu lowasa ni fisadi na aliyegharim taifa hili..then leo from nowhere huku mkiweka ulutheri na ukanda mbele mnageuka na kusema kwamba ni msafi na mkombozi and you expect watu wenye akili zao timamu wawaamini nyinyi vihiyo?
Hiyo haitakuja itokee...
So mkaamua sasa muunde coalition kuhakikisha kwamba hivi sasa nchi hii inaangukia ndani ya mikono ya wapiga madeal kama mbowe na lowasa kirahis rahisi tuh na mnadhani sisi tutalikubali hilo simple like that...
You guys if you are dreaming you are suposed to wake up and APOLOGISE..
We are smarter than that..na haya maisha tunaishi mara moja tuh kisha tunakufa..why tuyafanyie rehearsal eti kwa kuwajaribu kuwapa dola watu vigeugeu na wazandiki kama nyinyi?
Hamueleweki agenda yenu ni nini yenu ni nin sasa...leo mnaongea hili kesho mnaongea lile..ona hata ajenda ya ufisadi ishakufa..hamna vision na ni watu wa kukurupuka..and you expect muongoze taifa hili?ndoto hiyo mwisho wake ni hapo njia panda ya himo.
Mabadiliko tunayoyazungumzia ni ya kupinga rushwa..ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma...
Mabadiliko ya kiutendaji na uwajibikaji...na kujenga umoja wa kitaifa pasi na kuangalia udini ukanda na ukabila kama mnavyohubiri nyinyi jamaa.
Insha allah tunaomba uhai tutawafunza adabu October 25...
-- pia ulishawahi kuwaza kwamba wasemaje wakuu wa kampeni za chadema watakuwa watu kama kina kingunge..lowasa..sumaye..mako ngoro mahanga...Lawarence masha na kadhalika?

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments